Mchezaji wa Kimataifa wa Klabu ya Yanga, Haruna Niyonzima amewataka wachezaji wenzake wa Yanga kukubali presha inayokuwepo katika mbio za ubingwa.

Yanga
Kikosi cha Yanga

Niyonzima amesema kama kuna mchezaji yoyote ndani ya Yanga hataki kukubali presha zilizopo katika timu yao basi aache kucheza kabisa mpira kwa kuwa presha ni sehemu ya mchezo.

“Presha ni sehemu ya mchezo lakini mimi hainisumbui kabisa, sasa nitashangaa kuona mchezaji hakubali presha akiwa hivyo inabidi aache kabisa kucheza mpira,” amesema Niyonzima na kuongeza kuwa

Yanga

Yanga kukosa ubingwa misimu mitatu mfululizo ndio sababu kubwa inayozidisha presha ndani ya timu na mimi hii ni mara ya kwanza kuwaona Yanga wakikosa kombe mara tatu mfululizo,”


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

niyonzima, Niyonzima: Wachezaji Tukubali Presha, Meridianbet

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa