Kuelekea mechi ya watani wa jadi dhidi ya Simba, mshambuliaji tegemeo wa Yanga, Said Ntibazonkiza 🇧🇮, amewatoa wasiwasi mashabiki wa timu hiyo baada ya kueleza kwamba anaamini watapata matokeo.

 

ntibazonkiza, Ntibazonkiza : Yanga Tumejipanga, Simba Waje tu., Meridianbet

“Sifuatilii mechi za wapinzani wangu hao, mimi sijui ila kikubwa tunachoangalia ni mechi zetu na kuona tunapata matokeo, hakuna jambo lingine.

“Kuhusu kucheza sina wasiwasi pale ambapo ninapata nafasi hivyo ni suala la kusubiri na kuona itakuaje,” alisema Ntibazonkiza.

Mchezo huo wa Dabi ya Kariakoo unaovuta hisia za mashabiki wengi wa mpira wa miguu nchini utapigwa jumamosi ijayo saa 11 jioni katika saa za afrika mashariki na unatarajiwa kuwa wa kusisimua zaidi.

 


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

ntibazonkiza, Ntibazonkiza : Yanga Tumejipanga, Simba Waje tu., Meridianbet

SOMA ZAIDI

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa