Patrick Odhiambo Okumu, raia wa Kenya ambaye amepewa mikoba ya Francis Baraza kuinoa Klabu ya Biashara United amesema kuwa yupo tayari kuifundisha timu hiyo yenye maskani yake Mara.

Baada ya kutambulishwa tayari jana, Mei 5 alianza kukinoa kikosi hicho ambacho kinajiandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji.

Okumu Biashara United

Okumu ambaye ni maarufu kwa jina la Patto amewahi kufundisha Gor Mahia FC, Kakamega FC pamoja na Kakamega FC ambapo kote huko alikuwa ni Kocha Msaidizi.

Mei 4 alitambulishwa rasmi na uongozi wa Biashara United iliyo nafasi ya 4 na pointi 44 baada ya kucheza jumla ya mechi 28.

Kocha huyo amesema:”Nipo tayari kwa ajili ya kufanya kazi na Biashara United, naamini kwamba ushindani ni mkubwa ila hakuna mashaka kwa kuwa ni muhimu kuwa na ushirikiano katika utendaji wetu,”.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

okumu, Okumu Aaanza Rasmi Biashara United, Meridianbet

SOMA ZAIDI

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa