Kaimu Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Manchester United, Ed Woodward, amekubali kutoa kiasi cha pauni 140m, kwa kocha Ole Gunnar Solskjaer, kuhakikisha anafanya usajili wa kutisha kuelekea msimu ujao.

Ole Atengewa Fungu la Usajili, Ole Atengewa Fungu la Usajili, Meridianbet

Klabu za Premier League tayari zimeanza kufanya usajili baada ya dirisha kufunguliwa Julai 27, mwaka huu huku likitarajiwa kufungwa Oktoba 5, mwaka huu.

Man United itatumia kiasi cha pauni 140m, kwa ajili ya usajili, hii ni baada ya timu hiyo kufanikiwa kuingia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kutokana na kumaliza nafasi ya tatu ndani ya Premier League. Kitendo cha Man United kutinga michuano hiyo ya Ulaya, itakusanya kiasi cha pauni 120m.

Ole Atengewa Fungu la Usajili, Ole Atengewa Fungu la Usajili, Meridianbet

Man United katika usajili mipango yao mikubwa ipo kwa Jadon Sancho wa Dortmund ambaye dau lake ni pauni 100m na Jack Grealish kutoka Aston Villa, thamani yake ni pauni 75m. Katika hatua nyingine, Man United wana mpango wa kuwauza nyota wake akiwemo Chris Smalling, Alexis Sanchez, Phil Jones, Jesse Lingard, Diogo Dalot, Timothy Fosu-Mensah na Andreas Pereira.


Nini kinachokupa raha kama michezo ya kasino ya mtandaoni? Hasa unapojua kuwa kuna ushindi, jackpot na mizunguko kibao ya bure.
Ungana na bwana Meridian kupata ushindi na burudani.

Cheza Hapa Sasa

38 MAONI

  1. Safi sanaa maana atasajiki wachezaji wenye kuisaidia timu take vizuri na kupata mafanikio yanayostahili kwake

  2. Ni wazi makocha vijana katika ligi ya uingereza wamekuja na staili ya kutaka kujenja kwanza vikosi vyao ili kupambana katika kuweka rekodi ambapo ni jambo zuri na ni dei pia kwa club na mashabiki.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa