Manchester United wanaripotiwa kuwa wanatumaini mkataba mpya wa Ole Gunnar Solskjaer pale Old Trafford utawaweka kwenye nafafasi nzuri ya kupambania saini ya Erling Braut Haaland msimu ujao wa joto.

Nyota huyu mwenye uraia wa Norway anatarajiwa kuwa atatumia msimu mzima pale Borussia Dortmund kabla ya kuondoka mwakani kukiwa na dau la £68m kwenye mkataba wake.

Chelsea, Barcelona, Real Madrid na Manchester City waote wangepambania saini ya Haaland 2022,  lakini kwa mujibu wa Daily Star, matumaini ya Manchester United kwenye dili hili yanapewa nguvu na mkataba mpya wa meneja Ole Gunnar Solsjaer.

Ole Gunnar

Bosi huiyu mwenye miaka 48 amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na Manchester United, bosi huyu ana uhusiano wa mda mrefu na Haaland baada ya kuwa naye zamani kwenye kikosi cha Molde.

Haaland  amefunga magoli 57 kwenye mechi 59 za Dortmund tangia kuwasili kwake mwaka 2020, magoli 41 ya safari za michuano yote ya msimu wa 2020-21.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa