Makala nyingine

FAST BET: Hivi ulishawahi kwenda kwa mangi kununua bidhaa yeyote ukakutana na foleni ya kufa mtu, au ushaenda benki na sehemu zingine zenye huduma kama hizi, asikwambie mtu bana foleni …

Meneja mpya wa Aston Villa, Unai Emery alisisitiza kwamba lazima achukue kazi hiyo. Kocha huyo wa zamani wa Arsenal ataanza kazi rasmi Villa Park Novemba 1, mara baada ya kukamilisha …

Paul Scholes amedai kuwa Jurgen Klopp na Jordan Henderson wametofautiana kutokana na kutokuwepo kwa nahodha wa Liverpool kwenye kikosi chao cha kuanzia. Haya yanajiri baada ya Henderson kuwekwa benchi wakati …

MICHO: Jana wakati mchezo wa watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba ulipokuwa ukiendelea, ulishuhudia watu wengi kutoka nchi tofauti wakihudhuria uwanjani kushuhudia mchezo huo wa historia. Miongoni mwa watu …

MCHEZAJI wa Simba Agustine Okrah ambaye ni raia wa Ghana, ametumia mtandao wake wa kijamii kufafanua suala la yeye kushindwa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ya watani wa …

KLABU ya Simba ilikuwa kwenye hati hati ya kukabiliwa na adhabu kutokana na utovu wa nidhamu kwenye mchezo wao dhidi ya Yanga uliopigwa jana kwenye dimba la Benjamin Mkapa na …

SHINDA: Ebuana eeeh ule mzigo umeshafika kwao, na huu sio wa mwingine ni kwaajili yako kabisa unakusubiri wewe tu. Meridianbet mabingwa wa hizi kazi hapa Tanzania wamekuja na kitu kipya …

Mchezo wa Yanga Vs Simba unakaribia kuazna huku vikosi vya timu zote vikiwa vimeshatoka. Kwa upande wa wenyeji wa mchezo Yanga golini ataanza 39 Diarra, 21 Djuma Shabani, 15 Kibwana …

Manchester City wanaripotiwa kutaka kumsajili winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia. Kvaratskhelia, ambaye hajulikani aliko kabla ya msimu huu, amevutia vilabu kadhaa maarufu barani Ulaya baada ya kung’ara katika miezi mitatu …

Keane Amtetea Ronaldo

Roy Keane alimtetea Cristiano Ronaldo Jumamosi usiku, akidai kuwa kuondoka kwake dhidi ya Tottenham kulitokana na kuchanganyikiwa kabisa – ingawa hawezi kuona njia ya kurejea Manchester United kwa nyota huyo …

Mabosi wa soka wa Uingereza (FA) wameshutumu kelele za chuki za ushoga kutoka kwa mashabiki wa Manchester United huko Chelsea huku klabu hiyo ya Stamford Bridge pia ikisisitiza kuwa nyimbo …

Paul Scholes ametilia shaka uamuzi wa meneja wa Manchester United Erik ten Hag kumtoa Jadon Sancho na kuchukua nafasi ya Fred wakati wa sare ya 1-1 jana na Chelsea, akielezea …

1 2 3