Makala nyingine

The Austrian Grand Prix, inaelekea kuwa mbio za kwanza zilizoathiriwa vibaya sana na janga la mlipuko wa ugonjwa wa Corona miongoni mwa mashindano ya ubingwa wa dunia wa Formula One, …

Sote tunafahamu bondia Mike Tyson aliamua kustaafu rasmi mwaka 2005. Tangia hapo bingwa huyu hajapigana ndondi za kulipwa mpaka sasa. Lakini Tyson anataka sasa kurejea Ulingoni. Licha ya kustaafu, Mike …

Lewis Hamilton ameweka wazi baadhi ya vitu ambavyo angependa kuvifanya baada ya kustaafu mbio za magari F1. Amefanikiwa kukusanya mataji 6 ya michuano ya madereva hadi kufikia msimu uliopita. Lewis …

Mwishoni mwa mwaka 2019 mwezi Desemba zilitolewa habari za kuenea kwa ugonjwa wa kuambukiza wa virusi vya Corona huko Uchina. Ugonjwa huo unaoenezwa kwa njia ya hewa ulileta taharuki kubwa …

Mwanandondi Anthony Yarde ametoa wito kwa watu kusalia majumbani kufyatia janga lilomfika baba yake. Wakati ulimwengu ukiwa unapambana vilivyo kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona, haikuwa bahati kwa babaye Anthony …

Kwa mujibu wa Waziri wa Michezo wa Ufaransa, michezo ya mbio za baiskeli za wanaume Tour de France ambazo hufanyika kila mwaka zinatazamiwa kufanyika bila kuwepo na mashabiki. Kutokana na …

Pambano la marudio kati ya mabondia waliochuana ulingoni mapema mwezi uliopita limeahirishwa kufuatia tishio la Virusi vya Corona. Pambano hili lilikuwa linatarajiwa kufanyia Julai 18 katika viunga vya Las Vegas. …

1 2 3 133 134 135 136 137 138
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.