Baada ya kuwa shujaa wa Barcelona wakati Barca wakisaka ushindi dhidi ya Real Valladolid, Ousmane Dembele anaripotiwa kuwa anataka kuhakikisha anaendelea kuwepo klabuni hapo kwa mrefu zaidi.

Barcelona pia, wameripotiwa n

El Mundo Deportivo wanaripoti kuwa staa huyu anataka kuongeza mkataba wake wa sasa ili aendelee kusalia klabuni hapo, mkataba wake wa sasa unafika tamati Juni 2022, na ni kipindi hiki kinaonekana kuwa muhimu zaidi kwenye mkataba wake.

Akiwa bado amesalia na karibu miezi 15 kwenye mkataba wake, Dembele tayari anatajwa kuwa amevivutia vilavu vya Juventus na Manchester United lakini haoni kama anahitaji kuondoka Barcelona kwa sasa.

Ousmane Dembele Anataka Kuendelea Kusalia Barca!

Katika msimu wake wa kwanza Camp Nou, Dembele alikiuwa akisumbuliwa na majeraha kiasi, akipata majeraha nane tofauti ya msuli, ikiwa ni pamoja na kukosa mechi 11 kwa sababu ya shida ya msuli aliyoipata Nobembet 2019.

Msimu huu umekuwa tofauti kidogo, akipata mda mwingi zaidi wa kushiriki mechi akiwa amecheza takribani mechi 36 msimu huu, na katika mechi zake sabab za mwisho alifanikiwa kupata magoli yake ya mwisho.

Jumla, Dembele amecheza mechi 110 akiwa na Barcelona na kufunga magoli 29 lakini anaonekana kuendelea kuwa mchezaji muhimu zaidi kwenye kikosi kila uchao.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa