Tottenham - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Uchambuzi: Ni Janga Kubwa Sana!

Football

Klabu ya Tottenham imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono unaowafanya waendelee kujizatiti kileleni mwa ligi hiyo hadi sasa kwa kuweza kuwapiga Fulham 2-1; ushindi unaowafanya wakae vizuri katika nafasi yao ya …

Barcelona Mazungumzoni Kumnasa Boateng

Football

Barcelona wanaripotiwa kuwa wamejiandaa kumnasa nyota wa Sassuolo Kevin Prince Boateng. Klabu hii wanaripotiwa kuwa mazungumzoni ili waweze kumnasa Boateng kwa mkopo wakiwa na makubaliano ya kumnunua moja kwa moja. …

Ubaguzi Haufai Katika Soka!

Football

Klabu ya Tottenham inaripotiwa wapo katika uchunguzi wa kina juu ya sakata linaloripotiwa kuwa ni ubaguzi wa rangi uliokithiri kwa baadhi ya wachezaji wao. Mashabiki wanatajwa kuwa ni chanzo kikubwa …

Kuhusu Usajili Jumapili Hii!

Football

Hapa tunakuletea stori kuhusu usajili Jumapili hii. Hapa zipo zile zinazosemwa hadharani na vilabu husika, makocha, wachezaji na mawakala wao. Lakini pia zipo zile za nyuma ya pazia ambazo bado! …

Mkwanja: Wachezaji Wanaovuta Pesa Ndefu!

Football

Kutokana na utafiti uliofanywa hivi karibuni, zimetoka takwimu mpya za wachezaji wanaolamba hela nyingi kwenye  klabu wanazochezea. Hii inatokana na mishahara yao wanayolipwa na gharama zao za kuuziana kuwa juu …

Kuelekea Mzunguko wa Nne wa FA

Football

Baada ya mizunguko mingine kukamilika na washindi kupatikana; klabu nyingi zitakuwa zinaelekea kutafuta nafasi ya kusonga mbele katika mzunguko unaofuata. Katika mechi hizo itashuhudiwa timu kubwa zikimegana na timu kubwa …

Kuelekea Dirisha Dogo la Usajili

Football

Dirisha dogo la usajili limefunguliwa leo huku kukiwa na majina ya wachezaji yanayotazamwa kwa jicho la pekee kutoka ligi mbalimbali duniani. Baadhi ya wachezaji wanalazimisha kuzihama klabu zao wakiwa na …

Timu Kali; Msikie Sarri!

Football

“Kuna timu moja ambayo ipo juu kuliko timu zote za EPL na timu hiyo ni Man City. Ni ngumu sana kuwafikia hawa Man City msimu huu maana wao ni bora …

Diaz Kuwatosa City Kisa Barca?

Football

Imefafanuliwa na AS kuwa wakali wa Hispania, Real Madrid wanakazana sana ili waweze kumshawishi mchezaji kiungo wa kati kutokea Hispania, Brahim Diaz kuwatosa City! Diaz mwenye umri wa miaka 19 …

Beki Anayewasumbua Juve!

Football

Imesemekana kwamba klabu ya Juventus inahangaika sana kuweza kumnunua mchezaji beki mwenye umri wa miaka 21 kutokea Serbia, Nikola Milenkovic anayedaiwa kufukuziwa na vilabu vya Tottenham na Manchester United pia! …

Kante Kulamba Mkataba Mpya

Football

Mirror wanaripoti kuwa klabu ya soka ya Chelsea imempatia kiungo N’Golo Kante wa Ufaransa mkataba mpya ikiwa ni jitihada zao za kuhakikisha kwamba Kante anabakia Stamford Bridge kwani anasakwa na …

Sajili za Wabelgiji

Football

Imebainishwa na Sun kuwa mchezaji kiungo wa kati wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 31, Mousa Dembele yupo tayari kuachia mkataba wake wa Tottenham ili ahamie kwenye Ligi ya China …

Sajili Zinazosubiriwa Spurs

Football

Inawezekana mwezi Januari ukawa na sajili kadhaa kwa klabu ya soka ya Tottenham baada ya kushindwa kufanya hivyo wakati wa dirisha kuu majira ya kiangazi. Daily News wamebainisha kwamba klabu …

De Bruyne Kurejea Tarehe 20

Champions League

Mchezaji nafasi ya kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Manchester City, Kevin de Bruyne yupo katika maandalizi ya kurudi dimbani kwa sababu sasa ameshapona jeraha lake alilopata  miezi …

Piatek na Dili la Barca

Football

Mchezaji mshambulizi wa klabu ya soka ya Genoa, Krzysztof Piatek anajua kwamba klabu pinzani ya Barcelona inahitaji kumsajili ila kumezuka fununu kwamba klabu ya Manchester City, Tottenham Hotspur na Liverpool …

Ulijua Hili la Man U?

Champions League

Kwenye historia ya UEFA Champions League kuna timu mbili tu ambazo zimefanikiwa kupachika mabao 300 au zaidi kwenye hatua ya makundi: Real Madrid (324) na Barcelona (301) mpaka sasa. Man …

Sarakasi za City kwa Mserbia

Football

Mara baada ya Sun kuripoti kuwa meneja wa klabu ya soka ya Manchester City, Pep Guardiola amempa onyo winga Leroy Sane akitaka asipoteze mwelekeo wake nao Daily Star wanaripoti kuwa …

1 2 3 100 101 102 103 104