Tottenham - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Kabasele Huru Baada ya Rufaa

Football

Rufaa ya Waford kuhusu kadi nyekundu aliyoipata Christian Kabasele katika kombe la ligi kwenye gemu dhidi ya Tottenham Jumatano imefanikiwa. Staa huyu alioneshwa kadi nyekundu dakika ya 81, gemu ambayo …

Umtiti Kuikosa Gemu ya Athletic

Football

Nyota wa Barca, Samuel Umtiti hataweza kucheza gemu dhidi ya Athletic Club Bilbao jumamosi kutokana na kusumbuliwa na jeraha la goti. Mfaransa huyu alikuwa tayari ameikosa gemu ya katikati ya …

Mbio za Usajili Uingereza

Football

Klabu za Manchester United na Arsenal zinamuwinda kwa udi na uvumba mchezaji nafasi ya kiungo Arne Maier wa kati wa kikosi cha chini ya umri wa miaka 21 wa klabu …

Imani ya Klopp Leo

Football

Klabu ya Liverpool inayoongozwa na meneja Jurgen Klopp ina imani kwamba watakuwa imara zaidi wakati wanapokwenda kumenyana na wapinzani wao wakubwa Tottenham ambayo ni mechi ya mapema zaidi leo hii …

Spurs Wanapanga Kuivaa Leicester

Football

Imedaiwa na Telegraph kwamba klabu ya soka ya Tottenham Hotspurs inamfuatilia mchezaji beki wa klabu pinzani ya Leicester City, Ben Chilwell. Beki huyu mwenye umri wa iaka 21 kwa sasa …

Bosi wa Barca Amewapiga Mkwara Inter Millan

Football

Mkurugenzi wa Barcelona bwana Ariedo Braida amewapiga mkwara Inter Millan kuwa wasitegemee mteremko wowote katika kundi lao kwenye Ligi ya mabingwa Ulaya.  Inter Millan na Barcelona wamepangwa katika kundi moja …

Mabingwa Ulaya Nani Anao Mtiti?

Champions League

Mshike mshike wa Klabu bingwa Ulaya 2018 /2019 umefunguliwa rasmi! Pazia limefunguliwa katika droo ya makundi, makundi yako wazi. Kila timu sasa inajua inakutana na mbabe gani katika msimu huu …

Danny Rose Apambana Kubaki Spurs

Football

Mchezaji wa Tottenham Danny Rose anapambana kuendelea kuwepo Spurs kutokana na mafanikio ya timu hiyo. Danny alikuwa anatarajiwa kujiunga kwa mkopo Paris Saint-Germain au Marseille. Danny sasa anakataa dili la …

Uso kwa Uso Mourinho na Pochettino Leo

Football

Man utd anamkaribisha Tottenham wa Pochettino pale Old Trafford, wote wamecheza mechi mbili mpaka sasa. Wakati Spurs akianza vizuri kwa kushinda mechi zake zote dhidi ya Newcastle United na Fulham, …

Waturuki Kumnasa wa Uingereza?

Football

Klabu ya Uturuki, Fenerbahce imewasilisha maombi ya kumfanyia usajili mchezaji mshambuliaji wa klabu ya EPL Ligi Kuu ya Uingereza, Tottenham na Uholanzi, Vincent Janssen. Janssen ana umri wa miaka 24 …

Usajili wa Newcastle na Sekeseke Zao

Bundesliga

Klabu mbili za soka, Newcastle United na Tottenham zinaonekana zitakuja kumkosa kabisa mchezaji mshambuliaji wa klabu ya Nice na Ufaransa, Alassane Plea wakati ambao msakata kabumbu huyo ambaye ana umri …

Spurs: Ratiba ya Pre-season 2018/19

Football

Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Tottenham Hotspurs kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Tottenham Hotspur / Pre-season 2018/19 26-7-2018/ AS Roma vs Tottenham …

Eriksen Anaibeba Denmark Leo

Football

Hii inakuja ikiwa ni baada ya wao kukosa kupenya mwaka 2014 ambapo sasa timu ya taifa ya Denmark inakwaana na mataifa kadhaa kuhakikisha wanafanikiwa kwenye Kombe la Dunia. Mchezaji Eriksen …

1 2 3 101 102 103 104