Messi: Nina Hamu Kubwa ya Kuendelea Kupambana
Daily News

Baada ya kibarua cha kutumikia taifa lake kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, Lionel Messi sasa yupo tayari kurejesha majeshi PSG akipania kumaliza mwaka kwa ubora mkubwa. Messi alikosa …

Soma zaidi
Hii ni Ofa ya Man City kwa Frenkie de Jong
Daily News

Manchester City wameripotiwa kuwa wamewasilisha ofa rasmi ya €90m (£75m) kwa nyota wa Barcelona Franke de Jong. De Jong amekuwa mchezaji muhimu wa Barcelona tangia alipowasili klabuni hapo mwaka 2019. …

Soma zaidi
Chelsea Wanamtaka Gavi Darajani
Daily News

Staa wa Barcelona Gavi Baada ya kuonyesha kiwango cha kuvutia akiwa na Barcelona na timu ya taifa ya Spain sasa kiungo huyo ameripotiwa kuhitajika na klabu ya Chelsea ya ligi …

Soma zaidi
Klopp Aikumbusha Arsenal, Wanacheza Anfield.
Daily News

Wakali wa soka wanakwambia “mind games” ni mbinu ya mchezo. Jurgen Klopp, Solskjaer, Guardiola na Tuchel ni miongoni mwa makocha wanaotumia mbinu hiyo. Liverpool watakua uwanjani Jumamosi hii kuwaalika Arsenal. …

Soma zaidi
Simba Ingemvumilia Gomez tu, Kocha Mpya Ataweza?
News

Binafsi niseme tu Simba lazima wakubali kwamba sasa hivi ligi imebadilika na ligi ni ngumu haswaa maana ligi ina pesa sasa hivi wasitarajie wepesi maana kila timu unayokutana nayo sasa …

Soma zaidi
Eric Garcia: Ninamuona Guardiola kwa Xavi
News

Nyota Eric Garcia amemfananisha meneja mpya wa Barcelona Xavi Hernandez na Pep Guardiola na Luis Enrique. Eric Garcia amefanya kazi chini ya meneja Pep Guardiola akiwa Manchester City, ambao aliachana …

Soma zaidi
Real vs Juventus kwa Julian Alvarez!
Daily News

Nyota wa River Plate Julian Alvarez emeingia kwenye rada za vilabu vya Juventus na Real Madrid. Nyota huyu amekuwa kinara kwenye klabu ya River Plate kwa sasa, na kwa mujibu …

Soma zaidi
Antonio Conte Kama Wengine Tu Kwa Ndombele.
Daily News

Linapotajwa jina Tanguy Ndombele, ujue ni mchezaji ghali kuwahi kusajiliwa Tottenham Hot Spur. Antonio Conte ni kama makocha waliomtangulia kwenye hili. Ndombele amekuwa akizua gumzo kwa nafasi yake ndani ya …

Soma zaidi
Yanga SC Yatua Mtwara Kuwavaa Namungo FC.
Daily News

  Klabu ya Yanga SC imewasili mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo FC ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 20 katika uwanja wa Ilulu. Yanga SC …

Soma zaidi
EPL na NBC Wasaini Dili Nono.
Daily News

Habari njema kwa mashabiki wa EPL, Premier League imesaini dili nono na kituo cha televisheni cha NBC kwa miaka 6 ijayo. NBC ni kituo cha televisheni cha nchini Marekani ambacho, …

Soma zaidi