Thibaut

Madrid Wajitoa kwa Hazard na Thibaut

3
Moja ya klabu kubwa za La Liga, Real Madrid iko tayari kutoa dau la paundi milioni 200 ili waweze kumnasa mchezaji Eden Hazard wa klabu ya Chelsea inayokipiga Ligi Kuu ya Uingereza. Hazard alisemekana kwamba anataka kusepa pale Darajani Stamford...
Liver

Liverpool: Ratiba ya Pre-season 2018/19

0
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Liverpool kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Liverpool / Pre-season 2018/19: 07-7-2018/ Chester FC vs Liverpool 11-7-2018/ T. Rovers vs Liverpool 14-7-2018/ Bury FC vs Liverpool 19-7-2018/ B. Rovers vs Liverpool 22-7-2018/ Liverpool...

Juventus Wamnasa Ronaldo!

1
Staa wa Ureno, Cristiano Ronaldo amesaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Juventus ya huko Italia ambapo dau lake ni la dunia nzima! Mwanzo kabisa dau kubwa la fedha lenye thamani ya paundi milioni 105 lilitajwa kumtoa Ronaldo pale...
Isco|Dyabala

Wanaowindwa na Liverpool

1
Moja ya klabu kongwe Ligi Kuu ya Uingereza, Liverpool ipo katika tafakuri juu ya kumnunua msakata kabumbu Grzegorz Krychowiak wa huko Poland. Mchezaji huyo kiungo wa kati ana miaka 28 na msimu uliopita alicheza akiwa kwenye klabu ya West Brom...
Moses Kuuzwa Wakati Luiz Akipewa Nafasi|Chelsea

Chelsea: Ratiba ya Pre-season 2018/19

2
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Chelsea kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Chelsea / Pre-season 2018/19: 23-7-2018/ Perth Glory vs Chelsea 25-7-2018/ Chelsea vs Sevilla FC 28-7-2018/ Chelsea vs Inter Milan 01-8-2018/ Arsenal. vs Chelsea 05-8-2018/ Chelsea vs...
Newcastle

Usajili wa Newcastle na Sekeseke Zao

4
Klabu mbili za soka, Newcastle United na Tottenham zinaonekana zitakuja kumkosa kabisa mchezaji mshambuliaji wa klabu ya Nice na Ufaransa, Alassane Plea wakati ambao msakata kabumbu huyo ambaye ana umri wa miaka 25 akitegemewa kwenda kwa Borussia Monchengladbach ya...
Germany|Germany|France

Dondoo za Nusu Fainali Ufaransa na Ubelgiji

1
Hatua ya Nusu ya Fainali ya kwanza ya michuano ya Kombe la Dunia Urusi inatimua vumbi leo kwa mtanange mmoja kuchezwa dimbani Saint Petersburg. Itakuwa ni kati ya Ufaransa na Ubelgiji wanaokwenda kumenyana vikali. Hii gemu inasubiriwa kwa hamu kubwa...
Son

Spurs: Ratiba ya Pre-season 2018/19

0
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Tottenham Hotspurs kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Tottenham Hotspur / Pre-season 2018/19 26-7-2018/ AS Roma vs Tottenham 29-7-2018/ Barcelona vs Tottenham 01-8-2018/ Tottenham vs AC Milan Unakosaje hapo? Endelea kuwa nasi...
Mesut|Ozil

Washika Mitutu Kunasa wa Ufaransa, Uruguay na Ujerumani

1
Washika Mitutu wa klabu ya Arsenal wanasemekana kuwa wanazungumza na Lorient juu ya kumsaini Matteo Guendouzi ambaye ana umri wa miaka 19 kutokea huko Ufaransa na kwa sasa yupo kwenye kikosi cha wachezaji wenye umri chini ya miaka 20...
PEP|CITY

Manchester City: Ratiba ya Pre-season 2018/19

1
Hizi hapa ni mechi za kirafiki watakazocheza Manchester City kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa EPL mwaka 2018/2019: Manchester City / Pre- season 2018/19: 21.7.2018/ Man City vs B. Dortmund 26.7.2018/ Man City vs Liverpool 29.7.2018/ B. Munich vs Man City 05.8.2018/...