Taifa Stars Dimbani Leo dhidi ya Madagascar.
Daily News

  Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jioni ya leo itashuka uwanjani Madagascar katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la Dunia.   Mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa …

Soma zaidi
Mourinho Siyo Tatizo Roma – Francesco Totti
Daily News

Jose Mourinho siyo tatizo kwenye klabu ya AS Roma, na klabu na mashabiki kwa pamoja wanapaswa kumuunga mkono. Kwa mujibu wa Francesco Totti Roma walimteua Mourinho kuwa meneja mwezi Mei, …

Soma zaidi
Gallagher Aitwa Kwenye Kikosi cha Uingereza Watano Waachwa
World Cup 2022

Kiungo wa crystal Palace Conor Gallagher ameitwa kwenye kikosi cha Uingereza kwa mara ya kwanza na anatarajia kuwepo kwenye mchezo wa kesho jumatatu dhidi ya San Marino kwenye mchezo wa …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema, Manchester United wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Uingereza Jesse Lingard kwa £10m mwezi Januari. Meneja mpya wa Barcelona, Xavi anataka klabu hiyo kumsajili tena kiungo …

Soma zaidi
Glazers Kumbania Ole Gunnar Bajeti ya Usajili
Daily News

Wamiliki wa klabu ya Manchester United, Familia ya Glazers wanaripotiwa kuwa hawajajiandaa kumpatia meneja Ole Gunnar pesa kwa ajili ya usajili wa dirisha la mwezi Januari. Licha ya kutumia pesa …

Soma zaidi
Matokeo ya Michezo ya Kufuzu Kombe la Dunia Qatar 2022
World Cup 2022

Matokeo ya ya michezo ya kufuzu kombe la dunia hapo jana tulishuhudia bingwa wa dunia akitoa kipigo cha kikali cha goli 8-0 huku kinda nyota Kylian Mbappe akiweka nyavuni goli …

Soma zaidi
Gareth Bale Afikisha Millenium
Daily News

Gareth Bale amekuwa mchezaji wapili kwenye timu ya taifa ya Wales kuweza kufikisha michezo 100 ya kimataifa baada ya Chris Gunter. Gareth Bale hakuonekana kwa takribani kipindi cha miezi miwili …

Soma zaidi
Jemedari Saidi Bin Kazumari ni Yanga au Simba ? Tuambie!
News

Jemedari Saidi Bin Kazumari, Jina hili huenda sio geni masikioni mwako ukiwani moja ya watu wanaofatilia soka la Tanzania na hasa upande wa uchambuzi, Moja ya vitu ambavyo watu wengi …

Soma zaidi
Sheria ya Usawa Kiushindani Inatarajiwa Kuanzishwa EPL
Daily News

Ligi kuu ya England ipo kwénye mipango ya kutunga sheria mpya za matumizi ya fedha kwa vilabu ili kuzipunguzia nguvu za matumizi makubwa ya fedha kwa timu za Newcastle united …

Soma zaidi
Dybala: Nimeshindwa Kuvumilia Zaidi!
Daily News

Fowadi wa Juventus Paulo Dybala ametajwa kumwambia mchezaji mwenzake wa Argentina Angel Di Maria kwamba hangeweza ‘kuvumilia tena’ baada ya mchaka mchaka dhidi ya beki wa Uruguay Joaquin Piquerez. Piquerez …

Soma zaidi