GAMONDI ATOA NA NENO LA MATUMAINI YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, najua ana mchezo ngumu dhidi ya Mamelodi, lakini anajivunia uzoefu wake wa kucheza mechi ngumu na Muhimu. Gamondi amesema, anajua siyo kazi …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, najua ana mchezo ngumu dhidi ya Mamelodi, lakini anajivunia uzoefu wake wa kucheza mechi ngumu na Muhimu. Gamondi amesema, anajua siyo kazi …
Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kabisa kukipiga na Yanga SC katika mchezo wa Robo fainali ya Ligi ya …
Kikosi cha Mamelodi Sundowns kimewasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere tayari kabisa kukipiga na Yanga SC katika mchezo wa Robo fainali ya Ligi ya …
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani. Yanga wameweka wazi kuwakama …
VIUNGO tegemezi wa Yanga SC, Khalid Aucho na Pacome Zouzoua watakuwepo kwenye mechi ya mkondo wa kwanza kati ya Yanga na Mamelody March 30, Baada ya majeraha Yao kuendelea vizuri. …
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya hesabu kubwa ni kufanya kweli kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao ni …
Ally Shaban Kamwe, Afisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Sc amesema kuwa watu hawataki kusema ukweli kuwa wapo baadhi ya wachezaji wao wanaanza kwenye kikosi cha Mamelody Sundowns. …
Mashabiki wa klabu ya Yanga wataingia bure katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya Robo Fainali dhidi ya klabu ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa tarehe 30 mwezi huu. Afisa …
Zikiwa zimesalia siku 9 kuelekea mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini, Ali Kamwe …
WAKATI Wapinzani wao Simba wakiwa visiwani Zanzibar Kwa ajili ya maandalizi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Yanga wao wamekita Kambi kwenye viunga vya Avic Town ambapo …
Ligi kuu ya NBC iliendelea hapo jana kwa mchezo mmoja ambao ulikuwa ukiwakutanisha kati ya Azam FC dhidi ya bingwa mtetezi Yanga majira ya saa 2:30 usiku. Mchezo huo ulipigwa …
Ikiwa joto la ligi ya mabingwa barani Afrika lizidi kupamba moto baada ya Droo kufanyika siku ya Jumanne, unaambiwa hivi mabingwa wa ligi ya Afrika Kusini Mamelodi Sundowns wametuma (Match …
LICHA ya kupata ushindi dhidi ya Namungo, Hadithi itabaki kuwa mbaya Kwa mashabiki wa Klabu hiyo kwani mpira waliocheza Yanga ulikuwa mkubwa sana. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja …
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC klabu ya Yanga wamerejea kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kupata matokeo ya ushindi dhidi klabu ya Namungo mchezo ulipigwa mkoani Lindi. …
Mwenyekiti wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa watani zao, Klabu ya Yanga wanapaswa kupongezwa kutokana na soka safi wanalocheza hivi sasa na kupata matokeo mazuri …
Klabu ya Yanga imeendelea kusaini Mikataba minono ya udhamini, Baada ya hii leo kusaini kandarasi na kampuni ya kuuza na kusambaza Pikipiki za Hero. Mkataba huo utakaodumu kwa kipindi cha …
NYOTA wa Yanga, Joseph Guede, baada ya masimango mengi kutoka Kwa mashabiki kuwa hafungi, hatimaye amejibu maswali hayo mbele ya Polisi Tanzania jana usiku dhidi ya Polisi Tanzania ya Championship. …
Yanga SC iko zake kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kukusanya alama 40 katika mechi 15 ilizocheza ikiwa katika harakati za kutetea taji la Ligi Kuu Bara, huku beki …
RAIS wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said amethibitisha kuwa mdhamini na mfadhili wa Klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM) ameridhia kushiriki kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa …
KWENYE mechi ngumu ambazo wapinzani wa Yanga walikuwa wakicheza kwa kujilinda zaidi, kiungo Mudathir Yahya alikuwa ni mkali wa kutibua mipango hiyo na kuipa timu hiyo pointi tatu mazima Uwanja …