Uruguay - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Antonio Conte ana mpango wa kuwasilisha ombi la kumsajili mshambuliaji wa Manchester City na Argentina Sergio Aguero, 32, ambaye kandarasi yake inatarajiwa kukamilika mwisho wa msimu huu. Tetesi …

Morocco Yatoswa Kombe la Dunia 2030

Euro Cup

Mataifa ya Uhispania na Ureno yameingia mkataba maalumu wa kuunda muungano wa kujipigia chapuo kuandaa michuano ya kombe la dunia (FIFA WORLD CUP) mwaka 2030. Awali katika muungano huo pia …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele 23 hakuwa na hamu ya kujiunga na Manchester United kabla ya kukamilika kwa dirisha la uhamisho na sasa anataka kujiunga na Juventus msimu …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Bayern Munich inafanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kumchukua winga wa England Callum Hudson-Odoi kwa mkopo. Lakini Chelsea imekataa dili hilo lililokuwa na kipengele cha kumnunua kwa pauni milioni …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Tottenham wamekataa ofa ya mkopo wa pauni milioni 1.5 kutoka Paris St-Germain kwa ajili ya Dele Alli na mchezaji huyo, 24, anajiandaa kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo ya …

Chozi la Suarez kwa Barcelona

Champions League

Inaendelea.. Lazima ndani ya Barcelona kuna umoja, ukaribu na urafiki. Lakini aina ya mashabiki ambao Suarez atawakumbuka na mazoea kama mwanadamu wa kawaida, hivyo ni lazima kumwaga chozi. Yote sawa, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wamewasiliana na Brighton juu ya uwezekano wa makubaliano na beki wa kulia Tariq Lamptey, 19. Ofa ya Manchester United ya pauni milioni 91.3 …

Chozi la Suarez kwa Barcelona

News

MAMA mzazi wa Luis Suarez aitwaye Sandra alikuwa ni mfagizi katika moja ya kituo cha mabasi katika kitongoji cha Tres Cruzes Jiji la Montevideo nchini Uruguay na hakuwahi kukata tamaa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinaasema Manchester United wiki ijayo itaweka mezani dau la mwisho la £90m kwa ajili ya kujaribu kumsajili winga wa England Jadon Sancho, 20, kutoka Borussia Dortmund. Tetesi zinasema Arsenal …

Suarez Kutua Atletico Madrid.

Daily News

Barcelona wamekubali kumwachilia mshambuliaji Luis Suarez ajiunge na washindani wakuu katika Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga), Atletico Madrid. Suarez hatakikani kabisa kambini mwa Barcelona ambao kwa sasa wanatiwa makali …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema mlinzi wa Brazil Alex Telles, 27, anataka kuondoka klabu ya Porto na kujiunga na Manchester United, ambao wanajaribu kushawishi kupunguziwa dau lake la £36.6m. Liverpool wanatazamiwa kumtumia mshambuliaji …

Historia ya Soka Duniani

American Football

UNAKUBALI KUWA ASILI YA SOKA NI CHINA?   Mchoro wa mchezo wa kandanda katika makumbusho ya Linzi Kufika sasa ni dhahiri kuwa China ilikuwa na vilabu vya soka, sheria, na …

1 2 3 9 10 11 12 13 14