Griezmann Aomba Radhi Madai ya Ubaguzi
Daily News

Nyota wa Barcelona Antoine Griezmann ameripotiwa kuwa ameomba msamaha kwa mabosi wanaoifadhili Barcelona baada ya utani alioufanya uliotafsiriwa kama ubaguzi. Griezmann na mwanatimu mwenzake Ousmane DembΓ©lΓ©wametokea katika video iliyozua utata …

Soma zaidi
Messi Aionya Argentina Kuhusu Neymar!
Daily News

Nyota wa Barcelona na Argentina Lionel Messi amewatumia ujumbe wa onyo wachezaji wenzake wa timu ta Taifa juu ya Neymar kuelekea fainali ya Copa America. Messi na wanatimu wenzake walipenya …

Soma zaidi
Ramos Ashatimba Ufaransa, Tayari kwa Ligue 1
Daily News

Sergio Ramos anaripotiwa kuwa tayari ameshawasili Paris, akijiandaa na kusaini mkataba na miamba wa Ligue 1 Paris Saint-Germain. Ramos kwa sasa ni mchezaji huru tangia alipomaliza mkataba wake mwanzoni mwa …

Soma zaidi
Manyama : Azam Walikuwa na Kisu Kikali.
Daily News

  Beki Edward Manyama amefunguka ilivyokuwa baada ya mikikimikiki ya usajili wake kuhusishwa mara kasaini Simba, Azam FC na kutakiwa na Yanga. β€œNi kweli nilifuatwa na Simba na Yanga, lakini …

Soma zaidi
Ndoto Ya Neymar Yatimia Copa America 2021
Daily News

Hatimaye ndoto ya mchezaji wa PSG na Brazil, Neymar imetimia, baada ya timu yake ya Brazil kutinga fainali, Neymar alitangaza kwamba ndoto yake kubwa ni kucheza fainali dhidi ya Argentina …

Soma zaidi
Coutinho Awekwa Sokoni na Barcelona.
Daily News

Klabu ya Barcelona inaripotiwa kuwa tayari kukubali ofa katika eneo la pauni milioni 20 kwa kiungo wa nje anayependelea zaidi Philippe Coutinho. Licha ya kuondoka Liverpool kwa pauni milioni 142 …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema,mchezaji wa Manchester City na England, Raheem Sterling yuko tayari kuondoka klabuni hapo. Lakini meneja Pep Guardiola anataka winga huyo mwenye umri wa miaka 26 kubakia Etihad, licha …

Soma zaidi
Pep Abwaga Manyanga Usaili wa Mshambuliaji
Daily News

Ndio kusema Pep Guardiola amekata tamaa au City wameondolewa kwenye ramani ya kumpata mrithi wa Aguero msimu huu? Hakuna usajili wa mshambuliaji, 2021/22. Man City walikuwa sokoni kutafuta mrithi wa …

Soma zaidi
NBA Finals: Suns Waanza Kwa Ushindi
Basketball

Ikiwa ni mara ya kwanza kwa Phoenix Suns kucheza fainali ya NBA toka 1993, Suns wameanza vyema mchezo wa kwanza kwa kuwafunga Milwaukee Bucks. Chris Paul baada ya miaka 16 …

Soma zaidi
Gareth Bale Kuachana na Soka, 2022.
Daily News

Nyota wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Wales, Gareth Bale, anaripotiwa kuachana na soka la vilabu ifikapo Juni, 2022. Bale amerejea Madrid baada ya kumaliza msimu mmoja wa …

Soma zaidi