Michael Emenalo

Nafasi ya Wazi kwa Chelsea

2
Klabu ya soka ya Chelsea wanamsaka mtu wa kuchukua nafasi ya Mkurugenzi wa Uchezaji, Michael Emenalo klabuni hapo kwa mujibu wa Telegraph. Nani wanawaniwa? Imesemekana kuwa wakurugenzi wa kiufundi wa Chama cha Soka cha Uingereza (FA) ambao ni Dan Ashworth, Juliano...
kylian|Kylian Mbappe|Kyllian Mbappe

Ofa ya Mbappe Ilikataliwa na PSG

2
Klabu ya soka ya Paris St-Germain waligomea kabisa ofa ya klabu ya Manchester United kwa ajili ya mshambuliaji wao Kylian Mbappe ambaye ni raia wa Ufaransa kwa mujibu wa Mirror. Pia, imeelezwa kuwa PSG wanataka kumsaini mchezaji winga wa Barcelona,...
A S|Sanchez

Sanchez: Sajilini Wachezaji Wakubwa

1
Mchezaji winga wa klabu ya Manchester United, Alexis Sanchez ameitaka klabu yake hiyo kufanya sajili za wachezaji wakubwa na wenye uzoefu wa soka pekee. Winga huyu ametoa msisitizo kuwa Manchester United wanatakiwa wasaini wachezaji wenye kiwango kama cha Arturo Vidal...
Kepa

Nyanda wa Bei Mbaya!

0
Chelsea wamekamilisha kila kitu kumnasa nyanda wa Athletic Bilbao, Kepa Arrizabalaga kwa ada ya £71m. Hii imevunja rekodi ya dunia kwa usajili wa makipa. Hawa hapa ni magolikipa 5 ghali zaidi dunia kabla ya Kepa aliyehamia Chelsea: 1. Allison Becker (As Roma...
sarri|Pep|FA

Karibu Mgeni kwa Sarri ni Maumivu Tu!

0
Hapo jana Sergio Aguero aliweza kupachika magoli mawili ambayo yalikuwa ni ya 200 na 201 kwake ndani ya kikosi cha klabu ya soka ya Manchester City na ikawa ni msaada mkubwa sana wa kuwapatia wao ushindi kwenye gemu ya...
Luke|Shaw

Ujerumani Inamngoja Luke Shaw!

2
Luke Shaw ambaye ni mchezaji wa safu ya ulinzi akiwa na umri wa miaka 23 kwa sasa anafurahia sana kuuona mwaka wake wa mwisho wa mkataba wake klabuni Manchester United. Hili likiwa linaendelea, klabu ya Wolfsburg ya huko Ujerumani inamtaka...
Wayne|Rooney

Wayne Rooney Aanza kwa Maumivu!

1
Wayne Rooney ambaye ni mchezaji mshambuliaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United na Everton ametupia bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya DC United! Rooney alivunjika pua wakati akijaribu kuzuia mpira kwenye ushindi wa...
Mou|PEP

Sajili za Man City Hizi…

0
Hawa ni wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na klabu bingwa ya Manchester City msimu huu wakati wa majira ya usajili wa kiangazi: Riyad Mahrez (Leicester, 68m euros), Philippe Sandler (Zwolle, 2.5m euros). Na wapo ambao wameondoka klabuni hapo. Hii inajumuisha hawa hapa: Angus...
Samatta

Messi Kuungana na Samatta

3
Mchezaji mshambuliaji wa Tanzania na KRC Genk, Mbwana Ally Samatta yupo katika majadiliano na Levante ya huko Ligi Kuu ya Hispania ili kuona namna wanavyoweza kukamilisha mpango wa yeye kuhamia klabuni kwao. Dau lake Klabu ya Levante imetenga kitita cha Euro...
Mou

Usajili: Mourinho Anataka Beki wa Kati Mkali!

3
Jose Mourinho anatakiwa kumpiga bei beki mmoja wa kati ili asajili wakali wengine kwenye timu yake ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Amesema kuwa anataka msimu ujao awe na kikosi imara ili ahakikishe klabu hiyo inanyanyua Kombe la...