Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema, Jadon Sancho, 21, atakuwa ndiye mchezaji wa pili atakayelipwa zaidi Manchester United, nyuma ya mlinda lango David de Gea, iwapo atakamilisha uhamisho wake kutoka Borussia Dortmund msimu …

Soma zaidi
Chelsea Pua kwa Pua na United kwa Niguez
Daily News

Chelsea na Manchester United wanaripotiwa kupambania saini ya kiungo wa Atletico Madrid Saul Niguez wakati wa msimu huu wa usajili. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 bado amebakiza zaidi …

Soma zaidi
Mourinho, Lukaku Alikua Anajifunza United
Daily News

Muite “The Special One”, mtu na nyota yake kwenye ulimwengu wa makocha wa soka duniani. Sio mwingine, ni Jose Mourinho. Hajawahi kuishiwa maneno, safari hii amzunguzia Romelu Lukaku. Baada ya …

Soma zaidi
Mayweather Yupo Tayari Kumkabili Jake Paul
Daily News

Floyd Mayweather baada ya pambano la maonyesho na Logan Paul, sasa anaandaa mpinzani wake mwingine Jake Paul. Mvutano kati ya wawili hao umeongezeka hivi karibuni baada ya Jake Paul kuiba …

Soma zaidi
Konrad de la Fuente Kuondoka Barca kwa Mkopo!
Daily News

Barcelona wamepanga kumuacha kiungo ambaye ni mmoja wa viungo wanaowathamii sana Konrad de la Fuente aondoke kwa mkopo msimu ujao. Ronald Koeman alimpa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza …

Soma zaidi
Pique: Haaland Anaweza Kutua Camp Nou
Daily News

Gerard Pique ambaye ni beki wa kati wa timu ya Barcelona amekiri kwamba anatumaini klabu inaweza kumsajili starika Erling Haaland wa Borussia Dortmund wakati huu wa majira ya joto. Uchumi …

Soma zaidi
Mount : Nilimuomba Kovacic Anichukulie Jezi ya Modric.
Daily News

  Kiungo wa klabu ya Chelsea, Mason Mount amefunguka jinsi alivyomuomba mchezaji mwenzake Mateo Kovacic kumuombea Jezi ya Icon na mshindi wa Ballon, Luka Madric katika mchezo wa nusu fainali …

Soma zaidi
NBA: Suns Waitiadoa Furaha ya Jokic
Basketball

Mambo ni moto kunako michezo ya NBA Play-Offs, Phoenix Suns waendeleza ubabe dhidi ya Denver Nuggets. Furaha ya Jokic yatiwa doa. Suns walikuwa uwanjani kupambana na Nuggets kwenye mchezo wa …

Soma zaidi
Mbappe: Napakubali PSG lakini ni Sehemu Bora Kwangu?
Daily News

Mkataba wa Kylian Mbappe unatarajia kuisha mwaka ujao majira ya joto na Mfaransa huyo amesema kwamba bado hana uhakika kama Paris Saint-Germain ni sehemu bora kwake. Mchezaji huyo wa ufaransa …

Soma zaidi
Barbara : Simba Hatusajili kwa Tetesi.
Daily News

Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Mwanamama Barbara Gonzalez ameongelea kuhusu klabu hiyo kuhusishwa na sajili mbalimbali ambazo wenyewe hawana mpango nazo na wala hazipo katika orodha yao.     …

Soma zaidi