Martinez: Ni Ngumu Kusema Lini Hazard Atakuwa Tayari
Daily News

Eden Hazard alicheza dakika 10 tu katika mechi ya mwisho ya kirafiki ya Ubelgiji kabla ya Mashindano ya Euro 2020, lakini kocha Roberto Martinez alisisitiza kuwa lengo lao ni kumuona …

Soma zaidi
Paratici Kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Tottenham
Daily News

Vyanzo vinaweza kuthibitisha kuwa Fabio Paratici atasaini makubaliano ya kuwa mkurugenzi mpya wa michezo wa Tottenham wiki hii. Paratici alitumia miaka 11 iliyopita akihudumu kama afisa mkuu wa mpira wa …

Soma zaidi
Mbappe: Hernandez Aliniambia Nijiunge na Bayern
Daily News

Kylian Mbappe amezungumza juu ya Bayern Munich wakati akielezea kwamba Lucas Hernandez amemshawishi ajiunge na miamba ya Bundesliga. Mbappe amehusishwa sana na uhamisho wa pesa nyingi kwenda Real Madrid kabla …

Soma zaidi
FA Yapata Mwenyekiti Mwanamama Kwa Mara ya 1
FA Cup

Hatimaye zile harakati za kuhakikisha wanawake wanakuwa kwenye nyanja mbalimbali duniani zimeanza kuonekana kwenye michezo, hii ni baada ya mwanamama Debbie Hewitt kutangazwa kuwa mwenyekiti wa chama cha soka cha …

Soma zaidi
Donny Van De Beek Kuikosa Euro 2020.
Euro 2020

Ni muendelezo wa msimu mbaya kwa kiungo wa Man United na timu ya Taifa ya Uholanzi, Donny Van De Beek. Majeruhi kumkosesha nafasi ya kucheza Euro 2020. Van De Beek …

Soma zaidi
Jesse Lingard, Uungwana ni Vitendo.
International Friendlies

Mchezaji wa Man United, Jesse Lingard ambaye aliponesha kiwango safi baada ya kujiunga na West Ham United, ameonesha ukomavu katika soka. Ama hakika, uungwana ni vitendo. Lingard alimaliza msimu wa …

Soma zaidi
Liverpool Wawasilisha Ofa kwa Lorenzo Pellegrini
Daily News

Liverpool wamewasilisha ofa ya awali ya £26m kwa nyota wa Roma Lorenzo Pellegrini, wakati wakitafuta mbadala wa Georginio Wijnaldum. Pellegrini amemvutia Jurgen Klopp kwa kufanya kwake vizuri msimu uliopita, Liverpool …

Soma zaidi
Vodacom Yajitoa Udhamini Ligi Kuu VPL
VPL

Wadhamini wakuu wa ligi kuu Tanzania bara, Vodacom wameamua kujitoa kwenye udhamini wa ligi hiyo kutokana na kinachosemakana kuwa wanapata hasara kubwa kwenye udhamini huo. Taarifa hiyo imekuja baada ya …

Soma zaidi
Harry Kane Ataondoka kwa Pesa Tu Spurs!
Daily News

Nyota wa Harry Kane anatajwa kuwa ataruhusiwa kuondoka Tottenham Hotspurs ikiwa malipo yatakuwa ni taslimu pekee. Nyota huyu wa miaka 27 amekuwa akihusishwa zaidi na kuondoka London Kaskazini, huku kukiwa …

Soma zaidi
Novak Djokovic Aponea Kwenye Tundu La Sindano.
Tennis

Kunako muendelezo wa Roland Garros, almanusura Novak Djokovic ayaage mashindano mbele ya kijana wa miaka 19 raia wa Italia. Djokovic alijitutumua kupindua matokeo yaliyomnusuru asiyaage mashindano ya French Open katika …

Soma zaidi