Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Tetesi zinasema Paris St-Germain imeahidi kutoa pauni milioni 25 pamoja na pauni milioni 5 za ziada kwa beki wa kulia wa Arsenal Hector Bellerin, huku Bayern Munich na Juventus pia …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Tetesi zinasema Paris St-Germain imeahidi kutoa pauni milioni 25 pamoja na pauni milioni 5 za ziada kwa beki wa kulia wa Arsenal Hector Bellerin, huku Bayern Munich na Juventus pia …
Tetesi zinasema Manchester City wanajiandaa kulipa kiasi cha pauni Milioni 450, ili kuweza kusajili Lionel Messi ikiwa ni mpango wa kumsajili kwa miaka mitano na sehemu ya mkataba huo kujiunga …
Tetesi zinasema Baba yake Lionel Messi amewasili nchini Uingereza kuzungumzia kandarasi ya miaka miwili na klabu ya Manchester City baada ya mshambuliaji huyo wa Argentina ,33, kusema kwamba anataka kuondoka …
Tetesi zinasema Manchester City wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka kiungo wa kati wa Bayern Munich. Manchester United wamesitisha kwa muda biashara ya kuwahamisha wachezaji huku wakijaribu kusaini mkataba na winga …
Tetesi zinasema Chelsea inataka kuingiza pauni milioni 65 kwa kuwauza wachezaji wake ili kupata fedha za kumnasa mchezaji wa nafasi ya ulinzi anayekipiga West Ham Declan Rice. Wakati huo huo …
Tetesi zinasema Kiungo wa kati wa Southampton James Ward-Prowse,25, amekubali dili jipya ambalo litamfanya kusalia na kabu hiyo mpaka mwaka 2025. Winga wa Leicester City na timu ya taifa ya …
Tetesi zinasema Benfica imesitisha azma yake ya kumsaka mshambuliaji Edinson Cavani, 33, huku mchezaji huyo aliyekuwa Paris St-Germain akidai karibu pauni milioni 18 kwa kila msimu. Chelsea imekuwa ikimfuatilia mlinzi …
Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Aston Villa raia wa Tanzania Mbwana Samatta, 27, huenda akaelekea Fenerbahce baada ya kushindwa kuiridhisha Villa Park tangu alipojiuga nao Januari. Chelsea imejitayarisha kutoa ofa kwa …
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekiri klabu hiyo imekubali kushindwa kwenye mbio za taji la LaLiga, sasa wanajipanga kupigania ndoo ya Ligi ya mabingwa. Sare 3 katika michezo yao tisa …
Luis Suarez. Staa wa soka wa timu ya taifa ya Uruguay ambaye kwa sasa anaichezea FC Barcelona ya Hispania, Ni moja ya wachezaji waliopitia msoto, akiwa na umri wa miaka …
Kocha mkuu wa klabu ya Barcelona amemwagia sifa mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchi ya Uruguay kwa kuingia kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote baada ya kufungu bao la …
Edinson Cavani na Thiago Silva wanajiandaa kuondoka Paris St-Germain kipindi hiki cha Kiangazi baada ya kumalizika kwa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Agosti. Straika wa Uruguay, Cavani, 33, ameweka …
Leicester wamempatia kiungo wa kati wa Liverpool Adam Lallana, ofa ya mkataba wa kudumu. Mkataba wa kiungo huyo wa kimataifa wa England, Anfield unakamilika mwisho wa mwezi Juni. (Football Insider) …
Leicester wamempa ofa ya mkataba wa muda mrefu kiungo wa Liverpool Adam Lallana. Muingereza huyo mkataba wake na Anfield unamalizika Juni. Real Madrid hawajapokea ofa yoyote kumhusu Mshambuliaji wa Wales, …
Mwafrika gani hakusimama kuishangilia safari ya kwenda nusu fainali ile July ya tarehe 2 2010? Kila mtu alijua kazi imeisha. Kwa mara ya kwanza waafrika tunaenda nusu fainali. Mioyo yetu …
Uruguay ni wapambanaji haswa hawa jamaa kucheza nao unahitaji ujitoe mwili na akili , timu yao imekaa kipambanaji na sio kiufundi embu kumbuka kidogo ule msako waliofanyiwa na Ghana pale …
Tarehe 16/7/1950 ilianza kama siku nyingine tu , pale mitaani na vijiwe vingi Brazil stori ilikua moja tu fainali ya kombe la dunia dhidi ya Uruguay pale Estadio de Maracana …
Stori za El Classico! Kinachobamba kwenye mechi Real Madrid na Barcelona wanapokutana. _ Yule mtoto,Yule mbrazil, yule Vinicius Junior anastahili kuwa namba moja hapa kabisa. Msimu wa pili akicheza Madrid …
Chelsea watafungua mazungumzo na Freiburg juu ya mpango wa kumsajili mshambuliaji wao, Luca Waldschmidt, kulingana na ripoti huko Ujerumani. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 amefunga mabao sita katika …
Inter Milan wanatarajia kumuomba mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann, 29 kubadilishana na straika wao Lautaro Martinez kama Barcelona watajaribu kumsaini mchezaji huyo wa Argentina. Barca watajaribu kumsaini mshambuliaji wa Sweden, …