Man City Waunga Tela Kumfukuzia Lukaku!
Daily News

Klabu ya Manchester City inatajwa kuwa na nia ya kumrejesha nyota wa Inter Milan, Romelu Lukaku kwenye ligi kuu uingereza katika dirisha hili la usajili. Nyota huyu amekuwa kwenye fomu …

Soma zaidi
Manchester United Wautaka Ubingwa Europa, Wapiga Roma 6
Europa League

Timu ya Manchester United imeonesha nia yake ya kuutaka ubingwa wa Europa League baada ya kumpiga As Roma bao 6-2 katika mechi ya mkondo wa kwanza pale Old Trafford hapo …

Soma zaidi
Tanzania Kuingiza Timu 4 Mashindano ya CAF.
News

Tanzania inatarajiwa kuingiza timu nne katika mashindano ya CAF msimu ujao baada ya timu ya Simba SC kufanikiwa kutinga katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani afrika. …

Soma zaidi
Nabi wa Yanga Aipania Tanzania Prison FA.
Daily News

Baada ya kutoka kichwa chini mbele ya Lambalamba Azam FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameanza mikakati mipya na safu yake ushambuliaji kutokana na kukosa umakini wa kutumia nafasi …

Soma zaidi
Mahrez Afikia Rekodi ya Brahimi Katika UEFA
Champions League

Riyad Mahrez ameifikia rekodi ya Yacine Brahimi ya kuwa mchezaji bora wa Algeria katika historia ya Champions League kwa kufikisha mabao 8 baada ya kufunga bao la pili dhidi ya …

Soma zaidi
Simba :Ame Afungiwa Mechi 3 na TPLB.
Daily News

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemfungia mchezaji wa Simba SC, Ibrahim Ame Mohamed michezo mitatu na faini ya Sh500, 000 kwa …

Soma zaidi
Kane:Nataka Kushinda Mataji Zaidi
Champions League

Mchezaji wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane amesema kwamba anatamani kuwa kwenye timu inayochukua mataji mengi. Kane aliyasema hayo katika mahojiano na chombo kimoja cha habari baada ya timu yake kupoteza …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

Tetesi zinasema, Manchester United bado wanataka kufanya usajili wa winga wa kulia mwishoni mwa msimu, huku mchezaji nyota wa timu ya taifa ya England na klabu ya Borussia Dortmund, Jadon …

Soma zaidi
Marsch Achaguliwa Kuwa Kocha wa Leipzig Msimu Ujao
Daily News

RB Leipzig imethibitisha kumchagua Jesse Marsch kuwa kocha mkuu mpya baada ya kuondoka kwa Julien Nagelsmann kwenda Bayern Munich. Nagelsmann ameachana na Leipzig na kutimkia kwa mahasimu wao wa Bundesliga …

Soma zaidi
Europa League: Takwimu Mechi ya Villarreal vs Arsenal
Daily News

Siku ya Alhamisi meneja wa Villarreal na mshindi mara tatu wa Ligi ya Europa watakuwa na nafasi ya kupata nafasi kucheza na klabu yake ya zamani kwenye mashindano ambayo kwa …

Soma zaidi