Newcastle

Newcastle: Labda Yatokee Maajabu

3
Kocha Rafa Benitez ameanza kupoteza matumaini na timu yake endapo ataendelea kusalia katika ligi hiyo na timu yake ambayo haijawa na mwenendo mzuri kwenye ligi hiyo ya Uingereza. Kocha huyo anasema "Yatakuwa maajabu makubwa kama timu yangu itanusurika kushuka...
Alex

Siri: Ilikuwa Hivi…

3
Kocha aliyeipatia mafanikio makubwa sana katika soka kwa kuipa vikombe vingi na kuzalisha wachezaji wenye kariba ya pekee duniani, Sir. Alex ameamua kuacha kuugulia maumivu ya ndani kutokana na timu yake ya zamani kufanya vibaya kwenye ligi kwa kurudi...
Paul Pogba|Paul Labile Pogba on Instagram “Now caption this   big announcement later today”|Paul Pogba

Natoa Tangazo Kubwa Baadaye! -Pogba

1
Pogba ametikisa mitandao ya kijamii leo, hasa mtandao wa Instagram akisema kuna tangazo kubwa linafuata baadaye! Nyota huyu amechapisha picha ya ambayo uso wake umetiwa kivuli kwa kibonzo ambacho kinafanana na yeye! Pogba anatazamiwa kupiga kazi zaidi pale United baada...
Milan vs Fiorentina

Jumamosi: Milan vs Fiorentina

1
Milan vs Fiorentina! AC Milan wanamkaribisha Fiorentina baada dimbani San Siro baada ya kufululiza gemu tatu bila ushindi kwa michuano yote. Watakuwa na njaa ya kuupata ushindi kwenye gemu hii Jumamosi. Hata hivyo, Fiorentina nao wana njaa ya kuondoa gepu...
Gareth Bale|Bale

Je, Wamerejea Kwenye Ubora Wao Sasa?

0
Ni katika msimu mwingine tena Madrid wanafika hatua ya fainali kushindania klabu bingwa ya dunia. Ni historia kubwa ambayo si rahisi kuifikia katika soka la miaka hii, kwa sababu kila timu inajisuka kuwa bora na kuleta upinzani mkubwa kwa...
Zlatan Ibrahimovic|Zlatan Ibrahimovic

Ibrahimovic Azungumzia Kusepa LA Galaxy!

2
Zlatan Ibrahimovic ameamua kuzungumza tena kuhusu habari ya kusepa klabuni LA Galaxy kufuatia tetesi zinazomuhusisha yeye na klabu ya AC Milan. Nyota huyu amesisitiza kuwa yeye hatasepa klabuni hapo.Kupitia ukurasa wake wa Twitter amechapisha kuwa bado ana kazi hajamaliza kazi...
Jose Mourinho

Mourinho Haelewi Kama Atasajili Januari!

0
Tetesi za nani anaenda wapi na hawa wanamtizama nani zinazidi kukolea zikiwa zimebaki siku chache tu dirisha la januari kufunguliwa. Mourinho anasema haelewi kama wanaweza kusajili wachezaji wapya dirisha likifunguliwa au la! Tukiitazama Man U, kati ya wachezaji wanaotikisa tetesi...
Aaron Ramsey|Denis Suarez

Arsenal Wapewa Mbadala wa Ramsey!

1
Aaron Ramsey aliripotiwa kuwa anataka kusepa Arsenal mapema mwaka 2019, Arsenal wamekuwa wakifikiria nani angechukua nafasi yake kama akisepa. Ripoti za hivi karibuni zimedai kuwa klabu ya Barcelona wamewapa ofa ya kumchukua Denis Suarez ambaye anatafuta klabu atakayopata mda mwingi...
Paul Pogba|Pogba

Jurgen Klopp Anamtaka Paul Pogba?

0
Bosi wa Liverpool, Jurgen Klopp amemsifia mmchezaji wa Manchester United Paul Pogba kuwa ni mchezaji bora mno duniani, levo zake ni kati ya wachezaji mafundi zaidi duniani. Meneja huyu amesema haye wakiwa wanajiandaa kuelekea kwenye mtanange dhidi ya vijana...
Moses Kuuzwa Wakati Luiz Akipewa Nafasi|Chelsea

Chelsea: Moses Kuuzwa Wakati Luiz Akipewa Nafasi

2
Wakati wa usajili wa dirisha doog la mwezi wa kwanza Chelsea watampiga bei mchezaji wao Victor Moses wakati klabu mbili za Crystal Palace na Fulham zikiwa zinataka kutoa ofa zao kwa mchezaji huyo mwenye thamani ya paundi milioni 12. Kwa...