Zimbwe Jr, Bocco Bado Wapo Simba Mpaka 2023
VPL

Baada ya sokomoko la muda mrefu kuhusu hatima ya Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’, kuhusu mkataba wake kusalia na miezi miwili huku akihusishwa kuondoka klabuni hapo hatimaye aongeza mkataba kusalia klabuni …

Soma zaidi
Simba : FCC Ilikwamisha Mambo Mengi, Tuko Pazuri.
Daily News

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ anaelezea namna mchakato umekwama kwa muda katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC).   “Tumekuwa tukifanya mazungumzo …

Soma zaidi
Iheanacho Aiweka Leicester Mgongoni
News

Kelechi Iheanacho amewasogeza karibu zaidi Leicester City kwenye mbio za kumaliza kwenye nne bora katika Ligi Kuu England baada ya kuwapa ushindi juzi. Leicester City walipata ushindi wa mabao 2-1 …

Soma zaidi
Simba Hatushuki Kileleni – Matola
Champions League

Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameibuka na kutoa kauli ya kibabe kwa wapinzani wao kwamba watakachokifanya ni kutotoka katika nafasi ya kwanza waliyopo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara …

Soma zaidi
Guardiola: Neymar Aliondoka na Mataji Barcelona.
Champions League

Meneja Pep Guardiola anaamini Barcelona ingeshinda mataji mawili au matatu ya Ligi ya Mabingwa endapo wangeweza kumshawishi mshambuliaji wao Neymar asiondoke. Barcelona ilimsajili Neymar mwenye umri wa miaka 21 mnamo …

Soma zaidi
Bado Tunaimani Dhidi ya Chelsea – Zidane
Champions League

Zinedine Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid amesema kuwa kwa kuwa bado wanaishi wana imani watakwenda kupata matokeo chanya kwenye nusu fainali ya pili dhidi ya Chelsea katika UEFA Champions …

Soma zaidi
Usiku wa Torres Pale Camp Nou
News

Barcelona walikuwa wanaongoza mbili kwa moja dhidi ya Chelsea. Hapo John Terry ametolewa nje mapema sana. Kumbuka mechi ya kwanza darajani Chelsea walishinda kwa bao pekee la Didier Drogba. Kama …

Soma zaidi
Mikel Arteta Awaunga Mkono Wamiliki Arsenal.
Daily News

Kumeendelea kuwepo na maandamano ya mashabiki wa klabu ya Arsenal kwa siku za karibuni wakishinikiza mmiliki wa timu hiyo kuondoka. Mikel Arteta ana picha ya tofauti. Tangu kuibuka kwa sakata …

Soma zaidi
Brendan Rodgers Aipiga Chini Spurs.
Daily News

Kocha wa Leicester City, Brendan Rodgers amesema hana mpango wa kuzungumza kuhamia Tottenham kwa sasa kwa kuwa anaamini timu yake ipo katika nafasi nzuri ya kushiriki michuano mikubwa. Rodgers amekuwa …

Soma zaidi
Manchester: Ryan Giggs Akataa Mashtaka.
Daily News

Kutoka jiji la Manchester, kocha wa timu ya Taifa ya Wales ambaye pia alikuwa mchezaji wa Man United, Ryan Giggs, amesomewa mashtaka dhidi yake na ameyakataa mashtaka hayo. Giggs anashtakiwa …

Soma zaidi