Carlos Tevez- Nabii Anae Kubalika Kwao
Wakati Argentina wanapewa uenyeji wa Kombe la dunia 1978 walihitaji utulivu mkubwa kwenye Jiji la Buenos Aires, ndipo Dikteta Juan Carlos Ongania aliagiza maskini wote watolewe katikati ya jiji na …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Wakati Argentina wanapewa uenyeji wa Kombe la dunia 1978 walihitaji utulivu mkubwa kwenye Jiji la Buenos Aires, ndipo Dikteta Juan Carlos Ongania aliagiza maskini wote watolewe katikati ya jiji na …
“Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!” hii ni methali ya Kiswahili yenye maana tamu na nzuri ya kutuaminisha kuwa maajabu hayaishi abadani, kila uchwao kuna vituko vipya vinatokea ambavyo kwa …
Soka siyo tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikuvwa cha mashabiki; pia huchochea wachezaji kucheza kwa namna …
Soka siyo tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia, linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikubwa cha mashabiki; pia, huchochea wachezaji kucheza kwa namna …
Hivi juzi wakati wa mechi nzito kati ya Chile na Uruguay kulitokea kioja kikubwa kwa mchezaji mkubwa kama Suarez kutaka kufanya udanganyifu uwanjani kwa kumshawishi muamuzi kuita mpira wa penati …
Kukiwa na zaidi ya michezo 150 iliyochezwa mwishoni mwa wiki mbili zilizopita ambayo ilikuwa ikihusisha michezo ya kirafiki na mingine ya kufuzu kuelekea michuano ya Euro 2020; shirikisho la dunia …
Soka sio tu mchezo wa kushindanisha timu mbili uwanjani, pia linaendana na uwekezaji katika viwanja ambavyo mara nyingi huwa ni kivutio kikubwa cha mashabiki; pia huchochea wachezaji kucheza kwa …
Liverpool wanaripotiwa kuwa katika matazamio ya kuamua kumnasa mshambuliaji wa Celta Vigo Maxi Gomez huku nyota huyu akidaiwa kupigiwa upatu na Luis Suarez. Kwa mujibu wa The Sun, staa wa …
Quatar ni nchi ya Mashariki ya Kati na Japani pia ni nchi ya Asia Mashariki, lakini nchi hizi zinashiriki katika michuano ya Copa America ambayo kimsingi ipo kwa ajili ya …
Nyota wa PSG ambaye ni kiongozi wa magoli wa wakati wote kule Ligue 1, Edinson Cavani baada ya kujiunga na klabu hiyo akitokea Napoli mwaka 2003 anatarajia kustaafu soka, kwa …