Valencia Wamtaka Kepa Arrizabalaga Golikipa Wa Chelsea.
Valencia wanavutiwa na kumsajili kipa wa Chelsea, Kepa Arrizabalaga ambaye hatma yake huko Stamford Bridge Iko matatani huku Chelsea ikiendeleza juhudi zao kujaribu kumsajili Mlinda lango wa Kimataifa wa …