Tetesi Mbalimbali za Soka
Klabu ya Real Madrid imejiondoa katika kinyang’anyiro cha kumfukuzia nyota wa Manchester United, Paul Pogba na kuna kila dalili kwamba nyota huyo ataendelea kuhudumu kikosini hapo kwa miaka mingine zaidi. …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Klabu ya Real Madrid imejiondoa katika kinyang’anyiro cha kumfukuzia nyota wa Manchester United, Paul Pogba na kuna kila dalili kwamba nyota huyo ataendelea kuhudumu kikosini hapo kwa miaka mingine zaidi. …
Baada ya Arsenal kuzungumzia juu ya sakata la kumhitaji nyota wa klabu ya Real Madrid anayekipiga kwa mkopo klabuni hapo, Dani Ceballos wamiliki halali wa mchezaji huyo wameweka mezani ofa …
Kocha wa klabu ya Manchester United, Ole Gunnar bado hesabu na maono yake makubwa yapo katika usajili wa wachezaji ambao ni raia wa Uingereza ndani ya kikosi cha United. Kocha …
Manchester United wanajiandaa kuelekea kuchuana na klabu ya Leicester City Jumamosi. Kikosi cha Ole Gunnar mpaka sasa kina majeruhi 8, majeruhi ambao wanaweza kuathiri harakati za kutafuta ushindi dhidi ya …
Taarifa zinazidi kutembea kwamba klabu ya Juventus iko mbioni kuwataka nyota wa Manchester United mbali na kwamba wanaweza kukutana na ushindani mkubwa katika kumnasa mlinda mlango huyo. Juventus wameweka njia …
Klabu ya Manchester United ipo mbioni kuwasiliana na klabu ya Leicester City ili waweze kuwauzia mchezaji mwingine mara baada ya usajili wa Maguire kufanikiwa kama walivyotarajia. United wanamtaka James Morrison …
Klabu ya Juventus inaamini kwamba bado matumaini yao ya kumuondoa nyota wao Dyabala kujiunga na klabu nyingine litaweza kufanikiwa kutokana na uhitaji wao kutaka kupunguza matumizi ndani ya klabu yao …
Vuguvugu la kila klabu kujaribu kupambana kuweka mambo yake kwenye ramani kwa ajili ya msimu ujao bado limepamba moto na kila timu inapambana kuangalia namna wanavyoweza kuimarisha vikosi vyao ili …
Klabu ya Manchester United wamefikia makubaliano ya kumsainisha nyota kutoka klabu ya Leicester City Harry Maguire Nyota huyu ambaye nafasi yake ni mlinzi anachukuliwa kwa ada ya kuvunja rekodi kwa …
Soka ni mchezo wa ajabu sana ambao siku zote huibua mambo ya aina mbalimbali. Kuna wakati mchezaji huhama kutoka klabu moja kwenda nyingine kwa lengo la kubadili angalau mazingira lakini …
Staa wa zamani wa Manchester United, Roy Keane ameamua kusepa Nottingham Forest baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miezi mitano tu. Keane alikuwa anafanya kazi na klabu hii kama meneja …
Baada ya Chelsea kunyanyua kombe la Europa msimu huu kutokana na ushindi mzito walioupata kutoka kwa Arsenal ambao hakika ni wa heshima katika mashindano hayo makubwa duniani wameweza kujijengea historia …
Nyota wa Real Madrid anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Bayern Munich ameanza kuwashughulisha wakubwa wengi barani Ulaya ikiwemo Uingereza kuanza kuhitaji huduma yake msimu ujao japo nyota huyo anapendelea …
Nakuangushia baadhi ya rekodi matata zilizofikiwa na watu na timu tofauti kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Tiririka na rekodi zilizobamba EPL msimu wa 2018/19. Ole Gunnar ndani ya United: Ole …
Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji wanaohusishwa sana na matumizi makubwa ya kichwa chake katika kuzipa timu zake ushindi. Uwezo wake wa kuruka na kutumia kichwa chake unamfanya kukaa kwenye …
Kufungwa kwa dirisha la usajili mara zote sio ishara kwamba kila kitu kinapoa na fununu zinaishia kwa wakati huo. Hiyo huwa ni ishara ya kujiandaa kwa sajili nyingine zinazokuja mara …
Hakika ulikuwa ni usiku wa kihistoria uliofunikwa na ufundi wa kila aina ambao kwa hakika umeleta tafsiri halisi ya usiku wa mabingwa Ulaya. Ni mechi ambayo kwa hakika tunaweza kusema …
Zikiwa zimesalia mechi chache kuelekea kuhitimisha mzunguko wa msimu wa 2018/19 bado kuna wakati mgumu kujua nani ataibuka mshindi wa kombe hilo ambalo msimu huu linaonekana kuwa na uzito kutokana …
Kasi ya kukifukuzia kiatu cha dhahabu imekuwa sio ya kawaida kutokana na uchekaji na nyavu ulivyokuwa na kasi kubwa ndani ya ligi kuu ya Uingereza. Kwa sasa kila mchezaji anajitahidi …
Soka ni mchezo wa ajabu sana ambao siku zote huibua mambo ya aina mbalimbali. Kuna wakati mchezaji huhama kutoka klabu moja kwenda nyingine kwa lengo la kubadili angalau mazingira. Lakini …