Robo Fainali ya FA
Baada ya mechi za awali kupigwa na matokeo kupatikana hatua inayoelekea kwa sasa ni robo fainali ambapo timu hizo zitaumana tena ili kupata timu zitakazoelekea hatua ya nusu fainali. Ndani …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Baada ya mechi za awali kupigwa na matokeo kupatikana hatua inayoelekea kwa sasa ni robo fainali ambapo timu hizo zitaumana tena ili kupata timu zitakazoelekea hatua ya nusu fainali. Ndani …
Matajiri wa Chelsea wanaonekana kutopendezwa na mwenendo wa klabu hiyo hadi sasa, kutokana na kupokea vichapo mara kadhaa kitu ambacho kwao sio cha kawaida kabisa. Kutokana na kelele hizo ni …
Baadhi ya wachezaji mikataba yao ya kuendelea kutumikia klabu husika inaelekea ukingoni kukiwa na walakini wa baadhi yao kuongezewa mikataba hiyo ili kuendelea kuhudumu katika klabu hizo zaidi. Baadhi yao …
Hadi sasa kuna klabu ambazo zimetumia dirisha la usajili kuimarisha vikosi vyao, kwa kurudisha wachezaji wao waliokuwa kwa mkopo katika klabu nyingine na klabu nyingine zikiuza wachezaji wao ambao kwa …
Ikiwa wiki moja imewasalia kufungwa kwa dirisha la usajili la Januari, klabu nyingi barani Ulaya zinafanya kila linalowezekana kuweza kuendana na kasi hiyo kwa kusajili wachezaji watakaoziba nafasi zilizokuwepo katika …
Nigeria ina wachezaji nyota wengi wanaocheza soka la kulipwa nje ya mipaka ya nchi hiyo. Kwa sababu hiyo wana kipato kikubwa ambacho kinawafanya waweze kutimiza mahitaji yao ya kila siku. …
Hapa tunakuletea stori kuhusu usajili Jumapili hii. Hapa zipo zile zinazosemwa hadharani na vilabu husika, makocha, wachezaji na mawakala wao. Lakini pia zipo zile za nyuma ya pazia ambazo bado! …
Baada ya mizunguko mingine kukamilika na washindi kupatikana; klabu nyingi zitakuwa zinaelekea kutafuta nafasi ya kusonga mbele katika mzunguko unaofuata. Katika mechi hizo itashuhudiwa timu kubwa zikimegana na timu kubwa …
Man utd anamkaribisha Tottenham wa Pochettino pale Old Trafford, wote wamecheza mechi mbili mpaka sasa. Wakati Spurs akianza vizuri kwa kushinda mechi zake zote dhidi ya Newcastle United na Fulham, …
Jose Mourinho anatakiwa kumpiga bei beki mmoja wa kati ili asajili wakali wengine kwenye timu yake ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu ya Uingereza. Amesema kuwa anataka msimu ujao awe …