Milan Mazungumzoni na Mario Mandzukic
Daily News

Wakurugenzi wa AC Milan, Paulo Maldini na Frederic Massara wanaripotiwa kuwa wanafanya mazungumzo na wakala wa aliyekuwa nyota wa Juventus Mario Mandzukic. Kwa mujibu wa chapisho la Calciomercato, mkurugenzi wa …

Soma zaidi
Rudiger na Hatma Yake Ndani ya Chelsea.
Daily News

  Beki wa Ujerumani, Antonio Rudiger Imeripotiwa kuwa hawezi kuruhusiwa kuondoka Chelsea majira haya ya baridi endapo fikayo Tomori ataondoka kwa mkopo. Hatma ya Rudiger kuondoka Kwa mkopo au jumla …

Soma zaidi
Bayern Munich Yatupwa Nje DFB-Pokal Cup.
Daily News

Mshtuko wa Bayern Munich wa DFB-Pokal kupoteza kwa Holstein Kiel ulimwacha Hansi Flick “akiwa amekata tamaa” lakini kocha mkuu alisisitiza kwamba mabingwa wa Ujerumani na Ulaya lazima waendelee kusonga mbele. …

Soma zaidi
Ryan Garcia Ataka Pambano na Pacquiao.
Boxing

Ryan ‘Kingry’ Garcia anasema anataka kupigana na Manny Pacquiao baada ya kumpiga Gervonta ‘Tank’ Davis mwaka huu. Ingawa Garcia mwenye rekodi ya (21-0, 18 KO) anasema anamheshimu bingwa wa zamani …

Soma zaidi
Lyon: Kwaheri Dembele, Karibu Slimani.
Daily News

Klabu ya Lyon inayocheza ligi soka nchini Ufaransa – Ligue 1, imethibitisha kuondoka kwa Moussa Dembele na kumkaribisha Islam Slimani . Dembele amejiunga na Atletico Madrid kwa mkopo huku akitazamia …

Soma zaidi
Rasmi: Moussa Dembele Ajiunga na Atletico Madrid
Daily News

  Atletico Madrid imetangaza rasmi usajili wa Moussa Dembele kwa mkopo kutoka Lyon hadi mwisho wa kampeni za msimu wa 2020/21. Mfaransa huyo anajiunga na Los Rojiblancos kuziba pengo la …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

  Tetesi zinasema wawakilishi wa kiungo wa kati wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28, wamefanya mazungumzo ya awali kuhusu uhamisho wake wa mkopo kwenda Nice, lakini mazungumzo rasmi …

Soma zaidi
Nuno Espirito Santo, Unasepa Wolves???
Daily News

Wakala Jorge Mendes anatajwa kuwa kwenye harakati za kutafuta timu nyingine kunako EPL kwa ajili ya kocha  Nuno Espirito Santo  Hii ni habari ya kushtua kidogo kufuatia kocha huyo kusaini …

Soma zaidi
Manara Awakejeli Yanga kwa Kutwaa Mapinduzi Cup.
Daily News

Msemaji wa Simba SC Haji Manara amewapongeza kwa kejeli Young Africans (Yanga SC) kwa kutwaa Kombe la Mapinduzi 2021. Yanga iliifunga Simba kwenye mikwaju ya penati baada ya kwenda sare …

Soma zaidi
Spanish Super Cup: Barca Kumsubiri Madrid au Bilbao.
Daily News

Mambo yanazidi kunoga kunako ligi soka nchini Hispania. Vijana wa Catalunya – Barcelona FC wametinga fainali ya Spanish Super Cup kwa ushindi dhidi ya Real Sociedad. Barca anafuzu hatua ya …

Soma zaidi