LIonel Messi

Timu ya Beckham Inamvizia Messi

2
Taarifa zinadai kuwa staa wa zamani wa soka, David Bekham anamtazamia staa wa Barcelona Lionel Messi kwa ajili ya timu yake mpya Inter Miami inapokwenda kuanza rasmi kucheza katik ligi mwaka 2020. Inter Miami inatajwa kuwa klabu ambayo inaweza ikawavutia...
Maurizio Sarri

Maurizio Sarri Avunja Historia!

0
Boss wa Chelsea Maurizio Sarri ameingia katika historia kwa kuwa kuwa mmoja kati ya makocha 4 katika Premier League kushinda gemu zake tano za mwanzo, Pia amekuwa muitalia wa pili baada ya Carlo Anzelloti. Muitalia huyu aliingia chelsea baada ya...
Myweather Vs Pacquiao

Ndondi: Myweather Vs Pacquiao Tena!

4
Floyd Mayweather amesema anarudi ulingoni kuzichapa na Manny Pacquiao. Mabondia hawa walichapana mwaka 2015 mwezi Mei huku Mayweather akishinda kwa kumzidi pointi Pacquiao. Mayweather alitangaza kustaafu akidai hataingiua tena tena ulingoni labda kuwe na dau nono zaidi. Sasa Mayweather ametangaza...
Philipe Continho|Philipe Continho|Denis Suarez|Aaron Ramsey|Pep Guardiola

Guardiola Hataki Kumuachia De Bruyne!

1
Meneja wa Man City Pep Guardiola anadai dau alilolitaja  kwa mchezaji Kelvin De Bruyne lilikuwa ni janja janja ya kusema mchezaji huyo hayupo sokoni kwa sasa. Amesema haya kuondoa mkanganyiko katika dau alilolitaja mwanzo. Mkataba alionao kwa sasa unadaiwa kuwa...
LFC

Imani ya Klopp Leo

0
Klabu ya Liverpool inayoongozwa na meneja Jurgen Klopp ina imani kwamba watakuwa imara zaidi wakati wanapokwenda kumenyana na wapinzani wao wakubwa Tottenham ambayo ni mechi ya mapema zaidi leo hii Ligi Kuu ya Uingereza! Hii ni mara baada ya ndege...
Julen Lopetegu

Lopetegu Apinga La Liga Kuchezwa Marekani

1
Kocha wa Real Madrid, Julen Lopetegu amekosoa mpango wa kucheza gemu ya La Liga nchini marekani akidai unapoteza ushindani unaotakiwa. Jumanne Barcelona, Girona na La Liga waliomba ruhusa kwa Shirikisho la Soka la Uhispania (RFEF) kuwa klabu hizo zibadilishiwe gemu...
Hector Herrera

Herrera Hatasepa Porto Januari

1
Wakala wa Hector Herrera, bwana Gabriel Moraes anasema kuwa staa huyu hataondoka Porto mwezi Januari. Mkataba wake ulikuwa unaisha mwaka 2019, yupo katika orodha ya mastaa ambao watakuwa wachezaji wachezaji huru mwakani. Kuisha kwa mkataba wa Herrera kumewaweka macho klabu za...
mufc

Majina ya Rashford na Darmian Hayapo UEFA!

2
Mashetani Wekundu wa Manchester United wametangaza kikosi chao kamili kwa ajili ya mapambano ya michuano mikubwa sana huko barani Ulaya, Champions League ya UEFA. Kwenye orodha ya majina hayo hakuna mlinzi wa klabu hiyo, Matheo Darmian ambaye alisemekana kwamba ataondoka...
Italia

Italia Waua Mwaka Bila Kushinda

1
Kwa mara ya kwanza tokea mwaka 1959, timu ya taifa ya Italia wanamaliza mwaka bila kushinda gemu yeyote ya ushindani. Ushindi wa mwisho wa timu ya taifa ya Italia ulikuwa mwaka jana Oktoba 9 wakiwa wageni wa Albania katika mechi...
Juventus

Juve Watangaza Hasara ya €19m

1
Klabu ya Juventus wametangaza hasara ya paundi milioni 19 kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018 baada ya kushuka kwa mapato kwa kiasi cha Paundi milioni 58. Ilitarajiwa kuwa klabu hiyo ingetangaza hasara baada ya Exor-kampuni yenye umiliki, kupitia taarifa zao...