United Yatupwa Nje Carabao Cup.
Carabao Cup

Manchester United wameendelea walipoishia 2020, hii ni baada ya kutolewa kwenye nusu fainali ya Carabao Cup. United wanapoteza mchezo wa 4 mfululizo kwenye hatua ya nusu fainali wakiwa chini ya …

Soma zaidi
Xherdan Shaqiri Hatarajiwi Kuondoka Liverpool Januari
Daily News

Liverpool  wanaripotiwa kuwa sasa hawataweza kutemana na Xherdan Shaqiri  kwenye dirisha la uhamisho la mwezi Januari. Nyota huyu raia wa Switzerland alikuwa anatarajiwa kuwa yupo mbioni kuondoka Anfield mwezi huu …

Soma zaidi
Kumnasa Jack Grealish, United Watahitaji Takribani £90m
Daily News

Manchester United wanahitaji kujiandaa kuwa tayari kutumia £90m kama wakihitaji kuinasa saini ya Jack Grealish kutoka Aston Villa. Nyota huyu mwenye uraia wa Uingereza bado anaendelea kuhusishwa na uhamisho wa …

Soma zaidi
Inter Miami Wawasiliana na Phil Neville
Daily News

Inter Miami wanaripotiwa kuwa wamejaribu kufanya mawasiliano na meneja wa timu ya taifa ya wanawake ya Uingereza kwa ajili ya kibarua cha umeneja klabuni hapo. Taarifa zinasema kuwa mazungumzao ya …

Soma zaidi
Simba Yaichapa FC Platinum, Yafuzu Makundi
Champions League

Mabingwa wa Tanzania, Simba SC wamefanikiwa kwenda hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya FC Platinums ya Zimbabwe leo Uwanja wa Benjamin …

Soma zaidi
Spurs Yatinga Fainali ya Carabao Cup.
Carabao Cup

Pengine huu ukawa na msimu mzuri kwa Tottenham Hotspurs wakiwa na Jose Mourinho. Ushindi dhidi ya Brentford umewavusha hatua ya nusu fainali. Spurs ametinga hatua ya fainali ya mashindano ya …

Soma zaidi
Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.
Daily News

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali Tarehe 06 January 2021. Ratiba: England – EFL Cup 22:45 Manchester United vs Manchester City France – Ligue 1 21:00 Brest vs Nice 21:00 …

Soma zaidi
Norris Akutwa na Maambukizi ya COVID19.
Formula 1

Bado hali si shwari kutokana na wimbi la maambukizi ya COVID19 sehemu mbalimbali duniani. Dereva wa McLaren – Lando Norris amekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Lando ambaye kwa sasa …

Soma zaidi
Shevchenko Atajwa Kuchukua Mikoba ya Lampard Chelsea.
Daily News

  Baada ya kufanya vibaya katika mechi 5 zilizopita tetesi zinasema Legendi wa Chelsea, Andy Shevchenko anatajwa kuchukua mikoba ya Lampard endapo kocha huyo ataondoka klabuni hapo. Mmiliki wa klabu …

Soma zaidi
Slaven Bilic Ndani Ya Chinese Super League.
Daily News

Baada ya kutimuliwa kwenye kikosi cha West Brom, kocha raia wa Croatia – Slaven Bilic amekabidhiwa kikosi cha timu ya Beijing Guoan. Zikiwa ni wiki 3 tu zimepita tangu aondolewe …

Soma zaidi