Ronaldinho: Picha Halisi ya Maisha ya Kiamerika Kusini!
“Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!” hii ni methali ya Kiswahili yenye maana tamu na nzuri ya kutuaminisha kuwa maajabu hayaishi abadani, kila uchwao kuna vituko vipya vinatokea ambavyo kwa …