Gattuso: Hii Haiwezi Kutokea Nchini Scotland.
Daily News

Gennaro Gattuso amelalamika kwamba waamuzi wa Italia walikuwa “wepesi” sana na wanapaswa kuwa na uvumilivu kama maafisa wa Kiscottish baada ya nahodha wa Napoli Lorenzo Insigne kutolewa nje katika mchezo …

Soma zaidi
Arsenal Mawindoni Kumsaka Kiungo Mwingine.
Daily News

Baada ya kumkosa Dominik Szobsolai, mkurugenzi wa michezo wa Arsenal amethibitisha timu hiyo itaendelea kuwinda mchezaji mwingine wa nafasi ya kiungo mchezeshaji. Szobsolai ameripotiwa kuichagua RB Leipzig na kuikacha Arsenal …

Soma zaidi
Salah, Son na Vita ya Kiatu cha Dhahabu EPL.
Daily News

  Ushindi wa mabao 2-1 walioupata Liverpool Uwanja wa Anfield mbele ya Tottenham Hotspur inamfanya mwamba, Mohamed Salah kufikisha jumla ya mabao 11 ndani ya Ligi Kuu England. Jambo hilo …

Soma zaidi
Cavani Ashtakiwa na FA kwa Utovu wa Nidhamu.
Daily News

Fowadi wa Manchester United Edinson Cavani ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu na Chama cha Soka juu ya utumiaji wa neno la ubaguzi katika chapisho la matandao wa kijamii. Muuruguay huyo …

Soma zaidi
Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.
Daily News

RATIBA YA SOKA YA LEO LIGI MBALIMBALI ALHAMISI TAREHE 16 DECEMBER 2020. Ratiba: 🎯Algeria – Ligue 1 17:00 ES Setif vs NC Magra 🎯Tunisia – Ligue 1 18:00 Esperance vs …

Soma zaidi
Uchambuzi Sheffield United vs Man United.
Daily News

Sheffield United itakuwa kwenye harakati zao za utaftaji wa ushindi wa kwanza katika Premier League msimu huu watakapomenyana na Manchester United katika dimba la Bramall Lane siku ya Alhamisi usiku. …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

Tetesi zinasema Juventus wameanza kufanya mazungumzo na wakala wa Paul Pogba, 27, Mino Raiola wakijiandaa kumsajili tena kiungo huyo wa kati wa Manchester. Mlinzi wa Chelsea na England Fikayo Tomori, …

Soma zaidi
Australian Open 2021 Kuanza Februari 8.
Tennis

Kilichotarajiwa kwa wapenzi wa mchezo wa tenesi kimetokea. Mashindano ya Australian Open 2021 yamesogezwa mbele kwa wiki 3 na sasa yataanza Februari 8. Mashindano ya Australian Open ambayo ni michuano …

Soma zaidi
Alba: Barca Imecheza Mchezo Bora wa Mwaka.
Daily News

Jordi Alba anahisi Barcelona ilicheza mchezo wao bora wa mwaka 2020 katika ushindi wao wa LaLiga 2-1 dhidi ya Real Sociedad. Wakatalunya walifungwa kwa goli la Willian Jose katika dimba …

Soma zaidi
Robert Lewandowski Amefikisha Magoli 250.
Bundesliga

Robert Lewandowski anaendelea kuonesha umwamba wa kuzifumania nyavu kwa namna tofauti tofauti. Safari hii, amewatoa umaarufu Wolfburg na kuweka rekodi yake. Lewandowski alipachiki magoli 2 yaliyopeleka ushindi Munich na kuivunja …

Soma zaidi