Mamilioni Kumng’oa Neymar
Matajiri wa jiji la Madrid, klabu ya Real Madrid wapo tayari kusumbua sokoni kwa kufanya usajili wa ‘supastaa’ Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na klabu mbili za La Liga …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Matajiri wa jiji la Madrid, klabu ya Real Madrid wapo tayari kusumbua sokoni kwa kufanya usajili wa ‘supastaa’ Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na klabu mbili za La Liga …
Ligi Kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …
Aliyekuwa Rais wa FIFA msimu uliopita alikamatwa kwa tuhuma zilizokuwa zinaendelea juu yake kwamba alijihusisha na udanganyifu katika kuchagua mahali ambapo mashindano ya kombe la dunia linakwenda kufanyika msimu ujao. …
Baada ya kuipa ubingwa wa UEFA Nations League, nyota wa taifa la Ureno ambaye amekuwa akivunja rekodi nyingi sana ndani ya taifa hilo ameweza kwa awamu nyingine kurudisha kombe hilo …
Baada ya kichapo dhidi ya Ajax na kupoteza nafasi ya kuingia nusu fainali. Cristiano Ronaldo anaripotiwa kuwa hana furaha tena klabuni hapo. Unafikiri nini kisichomfurahisha Ronaldo Juventus? Taarifa zimebemba sana …
Furaha ya mchezaji katika maisha yake ya soka ni kuona kwamba anatengeneza wasifu wa pekee ambao huweza kuwa tofauti na mtu mwingine kitu ambacho humfanya yeye kuwa na upekee fulani …
Luka Modric amekuwa mchezaji wa kihistoria baada ya kutwaa tuzo ya Ballon d’Or ambayo haihusishi uwepo wa Messi na Ronaldo kwa miaka ya hivi karibuni. Mchezaji huyo ametwaa tuzo hiyo …
Ligi kuu ya Uingereza imeshuhudia wachezaji wengi wakiweka historia ya kutikisa nyavu mara 100 wakiwa katika umri mdogo kabisa. Kama ilivyo ada kufikisha idadi hiyo ya magoli ni ndoto ya …
Hawa jamaa ni wapinzani wa Jadi sasa! Christiano Ronaldo -CR7 na Lionel Messi kwa kipindi kirefu wamekuwa wapizani katika ligi ya La Liga, Messi akiwa barcelona wakati Ronaldo akiwa Real …
Mpira wa miguu ni miongoni mwa michezo rafiki sana duniani. Mchezo huu unapendwa, kuheshimiwa na idadi kubwa sana ya mashabiki. Kuna wakati mwingine huibua hisia nzito pale unapoona timu unayoishangilia …
Ni utamaduni kwa klabu kubwa kuwa na academy ambazo huwa na nia ya kuzalisha wachezaji ambao wataweza kukidhi mahitaji ya klabu zao au hata kuwauza wachezaji hao nje kwa klabu …
Rais wa klabu ya Barcelona, Josep Maria Bartomeu hana wasiwasi juu ya kusalia kwa Messi ndani ya kikosi chao katika msimu ujao huku kandarasi yake ikiwa inaelekea ukingoni kwa sasa. …
Mbappe ameweza kufikia rekodi nyingine iliyowahi kuwekwa na raia wa Brazil, Ronaldo Luís Nazário de Lima ya ufungaji wa magoli katika michuano mikubwa kabisa barani Ulaya ya klabu bingwa. Akiwa …
Miongoni mwa tuzo zenye heshima barani Ulaya ni kiatu cha dhahabu ambacho hutolewa kwa mfungaji anayeongoza kwa kupachika mabao mengi kwenye ligi anayoichezea na kuonesha mchango mkubwa katika klabu yake. …
Unaweza kuamini kuwa Neymar amempiga gepu CR7? Neymar amefikisha miaka 27, licha ya kuwa na jeraha ambalo linaendelea kumuweka nje ya dimba kwa sasa, anafikisha umri huu akiwa na rekodi …
Kombe la klabu bingwa ni miongoni mwa makombe yenye heshima na hadhi ya juu sana duniani. Klabu inaposhinda kombe la aina hii hupata heshima kubwa sana ndani ya msimu huo …
Ronaldo ameshindwa kupata goli moja tu msimu huu ili kuendeleza rekodi yake ya kufikisha mabao 50 katika ngazi ya klabu na timu ya taifa kwa mwaka. Imekuwa ni kawaida yake …
Bayern Munich Kuweka bunda mezani kwa Callum Hudson-Odoi Bayern Munich wanaripotiwa kuwa tayari kutenga bunda la paundi milioni 13 kumsajili kinda wa chelsea anayecheza nafasi ya kiungo Callum Hudson-Odoi kwa …
Makocha wawili wa klabu ya Mashetani Wekundu na The Blues wamekuwa na maono juu ya kabumbu la mchezaji Edn Hazard kwa taarifa za kutoka Daily Star na Talksport. Msikilize Mourinho …
Modric na Ronaldo wamekutana tena katika kinyang’anyiro cha mchezaji bora wa FIFA. Ronaldo ambaye alikosa tuzo ya mchezaji bora UEFA ambayo ilienda kwa Modric, ameingia katika tatu bora na mpinzani …