Unaikumbuka Kesi Hii ya McGregor?
News

Mpiganaji wa ndondi mchanganyiko McGregor aliwekwa kizuizini na na polisi wa America baada ya kuripotiwa kuwa alipokonya na kuivunja kwa makusudi simu ya shabiki nje ya klabu ya usiku ya …

Soma zaidi
Son Kurejea Baada ya Mechi Za Kimataifa
Daily News

Kocha wa Tottenham – Jose Mourinho, anategemea mchezaji wake Son Heung-min atarajea tena uwanjani baada ya michezo ya kimataifa mwezi ujao. Son alipata majeruhi katika mchezo wa EPL dhidi ya …

Soma zaidi
Safari ya Mo Ibrahim na Wimbo wa Mfalme
Champions League

Ni mara chache sana Msanii kutoka Tanga akaja Mzizima kisha akaimba visivyoeleweka, niliwahi kumsikia Khamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ na mitaa ikamuita Choir Master, kabla hata ya Roma Mkatoliki, am happy …

Soma zaidi
Droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
European Leagues

Kesho Oktoba 1 mosi itafanyika droo ya kupanga makundi kwa ajili ya msimu mpya wa klabu bingwa ulaya. Tukio hilo litafanyika huko Nyon Uswizi majira ya saa 11 jioni. Mabingwa …

Soma zaidi
Messi: Wote Tunatakiwa Kuungana
Daily News

Baada ya sekeseke la kutaka kuondoka Barcelona, nahodha wa timu hiyo – Lionel Messi, amekubaliana na hali na sasa anawasihi watu wote kuungana na kuleta mafanikio kwenye timu hiyo. Mapema …

Soma zaidi
Schalke 04 Yawinda Kocha Mpya, Baum Apigiwa Upatu.
Bundesliga

Baada ya kumuachisha kazi David Wagner Schalke 04 wanamtafuta kocha mpya kwa kasi ili kuendeleza msimu wa Bundasiliga ulioanza wiki mbili zilizopita. Anayepigiwa upatu ni kocha wa zamani wa Augsburg …

Soma zaidi
Lampard Akerwa na Matokeo dhidi ya Tottenham.
Daily News

Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea amesema kuwa kupoteza kwake mbele ya Tottenham Hotspurs kumemvuruga kwa kuwa walianza kushinda ndani ya dakika 45 za mwanzo.   Mchezo huo wa Kombe …

Soma zaidi
French Open: Djokovic na Tsitsipas Wang’ara
Tennis

Mashindano ya Roland Garos – French Open 2020 yanaendelea kutimua vumbi nchini Ufaransa. Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani – Novak Djokovic na Stefanos Tsitsipas wanaendelea kung’ara katika mashindano haya. …

Soma zaidi
Bayern vs Dortmund Ndani ya DFL Super Cup.
Daily News

Miamba ya kandanda ya Ujerumani Bayern Munich na Borussia Dortmund ziliangukia pua mwishoni mwa wiki katika mechi zao za ligi kuu Bundesliga lakini wana fursa ya kurejea tena haraka kwenye …

Soma zaidi
Tetesi za Soka Barani Ulaya.
Daily News

Tetesi zinasema Mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich wamewasiliana na Brighton juu ya uwezekano wa makubaliano na beki wa kulia Tariq Lamptey, 19. Ofa ya Manchester United ya pauni milioni 91.3 …

Soma zaidi