Naomi Osaka Hatashiriki French Open 2020
Tennis

Mwanadada bingwa wa US Open, Naomi Osaka hatashiriki michuano ya French Open mwaka huu baada ya kupata jeraha. Mwanadada huyu, mmoja kati ya vijana wenye uwezo mkubwa kwenye tenisi akiwa …

Soma zaidi
Garner Ajiunga na Watford
Daily News

Wakati ambapo hali ya sintofahamu inaendelea kutawala Old Trafford. Mchezaji kinda – James Garner amejiunga na Watford kwa mkopo. Garner ambaye amekuwa na msimu mzuri kwenye kikosi cha wachezaji wa …

Soma zaidi
Sancho Anaweza Kuwa Bora Kama Ronaldo.
Bundesliga

Jadon Sancho ana viwango vyote kuja kuwa mchezaji mzuri kama Christiano Ronaldo, hii ni kwa mujibu wa mchezaji mwenzake wa Dortmund Raphael Guerreiro. Muingereza huyo wa kimataifa Sancho amejipatia umaarufu …

Soma zaidi
Fernandes: Ninaweza Kumsaidia Ronaldo
Daily News

Kiungo wa Man United na timu ya taifa ya Ureno – Bruno Fernandes, amenukuliwa akisema anaweza kumsaidia Cristiano Ronaldo kuweka rekodi duniani. Fernandes na Cristiano Ronaldo wanacheza pamoja kwenye kikosi …

Soma zaidi
Uchambuzi: Bayern Munich vs Schalke.
Bundesliga

Miamba ya Ujerumani Bayern wanampango wa kubeba Bundesliga mara ya tisa mfululizo kwa msimu 2020-21 na usiku wa leo watawakaribisha Schalke katika dimba la Allianz Arena. Mabingwa hao wa Ulaya …

Soma zaidi
Solskjaer: Haukuwa Muda Sahihi kwa Greenwood
Daily News

Ole Gunnar Solskjaer hajapendezwa na uamuzi wa Gareth Southgate kumuita Greenwood kwenye kikosi cha timu ya taifa – Uingereza. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kwanza wa EPL …

Soma zaidi
Chiellini ni Nguzo ya Juventus -Vieri
Daily News

Giorgio Chiellini ni nguzo ya Juventus! Nyota wa zamani wa Italia, bwana Christian Vieri anaamini kuwa kapteni wa Juventus Giorgio Chiellini ni sehemu muhimu mno ya kikosi cha Juventus. Kwa …

Soma zaidi
Emil Roback Aliwatema Arsenal Kujiunga Milan
Daily News

Nyota kinda aliyesajiliwa na AC Milan hivi karibuni Emil Roback amebainisha kuwa aliitema klabu ya Arsenal na kuamua kujiunga na klabu hiyo. Nyota huyu mwenye miaka 17, ambaye ameenda kuungana …

Soma zaidi
Barca Watashinda LaLiga Lakini kwa Mbinde- Schuster.
Bundesliga

Kiungo wa zamani wa Barcelona Bernd Schuster amesema anaweza akaona timu hiyo ikipambana kushinda taji la LaLiga msimu huu 2020-21 lakini kwa nafasi ndogo. Barca walimaliza msimu 2019-20 bila kushinda …

Soma zaidi
Farah Kukosa Mbio za Mita 5,000 za Olimpiki, Tokyo.
Meridianbet

Bingwa mara nne wa Olimpiki, Mo Farah, amethibitisha kwamba hatakuwa sehemu ya wanariadha watakaonogesha mbio za mita 5,000 kwenye Michezo ya Olimpiki itakayoandaliwa jijini Tokyo, Japan mnamo 2021. Farah, 37, …

Soma zaidi