Wiki Hii Kitaeleweka Pale City Juu ya Dani Alves!
Kwa mujibu wa mtandao wa Sun imeripotiwa kwamba klabu ya kule Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City watafanya juu chini ili kukamilisha mpango wa kumnasa beki Dani Alves juma hili!
Klabu zingine za huko huko, Chelsea na Tottenham pia zimekuwa...
Huenda Chambo cha Mbappe ni Gareth Bale!
Ikiwa kuna tetesi za mpango wa klabu ya soka ya Real Madrid kumuwinda msakata kabumbu kinda Kylian Mbappe habari zinasema kuwa vyombo vya habari vya huko Uhispania vimetoka na ripoti kwamba huenda Bale akawa ndiye chambo kwenye dili hiyo!
Kwa...