Mshangao wa Messi Kuhusiana na Ronaldo!
Msakata kabumbu mshambuliaji wa klabu ya soka ya Barcelona ambaye ana umri wa miaka 31 raia wa Argentina, Lionel Messi amesema kwamba yeye alishangazwa sana na maamuzi ya mshambuliaji mwenye umri wa miaka 33 wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo!Ronaldo...
Rodger Federer Atupwa! Djokovick Anabamba!
Kila mchezo una maajabu yake! Haikutarajiwa! Ni kwamba mshindi mara 20 wa Grand Slam kutoka Uswisi, Rodger Federer amejikuta yupo nje ya michuano ya Us Open! Hii ni mara baada ya yeye kutolewa na John Millman ambaye ni mchezaji...
Diego Costa Amejitoa Kwenye Kikosi Cha Taifa
Straika wa Uhispania, Diego Costa amejitoa katika kikosi cha taifa cha Hispania kinachoenda kucheza katika Ligi ya Mataifa -Uefa dhidi ya Croatia na Uingereza kwa sababu zake binafsi. Taarifa Kutoka Shirikisho la Soka Hispania kinaripoti kuwa nafasi ya Costa...
Palegri Nje ya Kikosi Cha Taifa Italia
Straika wa Monaco Muitalia Pietro Pellegri amechomolewa rasmi katika kikosi cha timu ya taifa ya Italia katika mechi mbili zijazo. Pietro Pellegri alipata wito katika kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya kupambana na Poland na Portugal.Taarifa kutoka shirikisho...
Kesi ya Madrid na Inter Kuhusu Modric Imeisha!
Kesi iliyokuwa katika mezani ya FIFA kuhusu utaratibu uliotumika na Inter kumfukuzia Luka Modric inadaiwa kufungwa. Kwa mujibu wa chanzo cha habari za michezo cha kiitaliano Calciomercato madai hayo yamefungwa baada ya Inter kuonekana hawakukiuka taratibu za kisheria wakati...
FIFA:3 Bora ni Ronaldo, Modric na Salah
Modric na Ronaldo wamekutana tena katika kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa FIFA. Ronaldo ambaye alikosa tuzo ya mchezaji bora UEFA ambayo ilienda kwa Modric, ameingia katika tatu bora na mpinzani wake wa mwanzo Luka Modric na Mohamed Salah. Mchakato...
Jeuri ya Mourinho Baada ya Ushindi
Mourinho alitoka akitabasamu baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya mwenyeji wake Burnley kwenye dimba la Turf Moor. Macho ya wadau wengi wa soka yalikuwa yakimtazama Mourinho kujua nini atakipata na nini kitatokea ikiwa atapoteza mechi hiyo...
Bosi wa Barca Amewapiga Mkwara Inter Millan
Mkurugenzi wa Barcelona bwana Ariedo Braida amewapiga mkwara Inter Millan kuwa wasitegemee mteremko wowote katika kundi lao kwenye Ligi ya mabingwa Ulaya. Inter Millan na Barcelona wamepangwa katika kundi moja Kundi B wakiwa na Tottenham, PSV Eindhoven.Bosi huyu anasema...
Sekeseke la Martial na United!
Klabu ya soka ya Manchester United haijakubaliana kuhusiana na mkataba mpya wa kumzuia mchezaji mshambuliaji wake, Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22 kwa sasa kusepa klabuni hapo iliyopo Old Trafford!Raia huyo wa nchini Ufaransa yupo katika mazungumzo na...
Eden Hazard: Nafurahia Soka Chini ya Sarri
Kiungo wa Chelsea, Eden Hazard anasema anafurahia kupiga soka katika timu yake chini ya uongozi wa Maurizio Sarri. Hazard alijiunga na Chelsea Julai 2012 akiwa antokea LOSC lille, anamsifu sana Maurizio Sarri na staili yake ya mpira akiwa anaendeleza...