chelsea - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Dondoo za Usajili: Fabregas, Cahill

Football

Bayern Munich Kuweka bunda mezani kwa Callum Hudson-Odoi Bayern Munich wanaripotiwa kuwa tayari kutenga bunda la paundi milioni 13 kumsajili kinda wa chelsea anayecheza nafasi ya kiungo Callum Hudson-Odoi kwa …

Usajili: Kuelekea Januari

Football

Kati ya timu kubwa barani ulaya ambazo zinacheza na kupata ushindi kwa kudra za Mwenyezi Mungu, Madrid hakosi kwenye kundi hilo. Hadi sasa watakuwa wanawaza juu ya  upepo alioondoka nao …

Timu Kali; Msikie Sarri!

Football

“Kuna timu moja ambayo ipo juu kuliko timu zote za EPL na timu hiyo ni Man City. Ni ngumu sana kuwafikia hawa Man City msimu huu maana wao ni bora …

Gemu Kali za EPL Wikiendi Hii

Football

Ligi kuu ya Uingereza -EPL ilikuwa imesimama kidogo wakati mivhuano ya Mataifa ya UEFA ikiwa imepamba moto. Mastaa wengi walirejea kutumikia vikosi vyao vya taifa na wengine wakapata majeraha huko …

Anayeongoza Kumwaga Pesa Ndefu…

Football

Hii hapa ni orodha ya klabu kubwa za huko majuu Ulaya ambazo zinalipa pesa kubwa zaidi kwenye mishahara: FC. Barcelona – Hispania = €487m Real Madrid – Hispania = €395m …

Sikia ya Conte… Subira!

Football

Ni suala la subira! Meneja wa zamani wa Chelsea, Antonio Conte amefunguka na kusema kwamba atangojea mpaka msimu wa joto ili aanze kazi yake mpya kwa mujibu wa Rai Sport …

Bakayoko Kurudi Uingereza

Football

Calciomercato kupitia Sun wanakuja na ripoti kwamba klabu ya soka ya Fulham ina malengo ya kumsajili kiungo mchezaji wa Chelsea na Ufaransa, Tiemoue Bakayoko. Kwa sasa Bakayoko anacheza klabu ya …

Maono ya Makocha kwa Hazard…

Football

Makocha wawili wa klabu ya Mashetani Wekundu na The Blues wamekuwa na maono juu ya kabumbu la mchezaji Edn Hazard kwa taarifa za kutoka Daily Star na Talksport. Msikilize Mourinho …

Real Madrid Watamsubiri Mourinho?

Football

Wakati Jose Mourinho akiwa akiripotiwa yuko mbioni kupoteza kibarua chake kufuatia mwanzo mbaya wa msimu huu pale United, Real Madrid wanaripotiwa kuwa wanatazamia kumrejesha kocha huyo Real Madrid kuichukua nafasi …

Hazard Anamuiga Ronaldo!

Football

Wes Browsn ambaye alikuwa ni mchezaji mlinzi wa klabu ya soka ya Manchester United amesema kwamba mchezaji wa Chelsea Eden Hazard anatumia mbinu kama zile za mchezaji staa Cristiano Ronaldo …

Kante Kulamba Mkataba Mpya

Football

Mirror wanaripoti kuwa klabu ya soka ya Chelsea imempatia kiungo N’Golo Kante wa Ufaransa mkataba mpya ikiwa ni jitihada zao za kuhakikisha kwamba Kante anabakia Stamford Bridge kwani anasakwa na …

Hazard: Nilisikitika Mourinho Kutimuliwa

Football

Eden Hazard amefichua kuwa alimtumia ujumbe Jose Mourinho akimuelezea masikitiko yake baada ya meneja huyo kutimuliwa kazi pale Chelsea mwaka 2015. Mourinho alitimuliwa kazi baada ya kuchapwa na Leicester City …

Paul Ince: Mourinho Lazima Abadilike

Football

Mchezaji wa zamani wa Man Utd ameamua kuzungumzia kuhusu hali inayoendelea katika klabu ya Man Utd na kama Jose Mourinho atimuliwe kwenye klabu hiyo kwa sasa au nini kifanyike zaidi …

Fabregas Anamzungumzia Hazard…

Football

Mchezaji kiungo wa kati wa klabu ya soka ya Chelsea, Cesc Fabregas ana imani kwamba itakuwa ni vigumu sana kwa Wanabluu hao kuendelea kuwa na Eden Hazard mwenye umri wa …

Sarri Alalama Ratiba Taiti

Football

  Maurizio Sarri amelalamika kuwa Ligi Kuu –Premier League hawajawapa mda wa kutosha wao kufanya vizuri kwenye gemu waliyotoa sare ya 0-0 dhidi ya West Ham jana Jumapili. Chelsea wamekwama …

Maurizio Sarri Avunja Historia!

Football

Boss wa Chelsea Maurizio Sarri ameingia katika historia kwa kuwa kuwa mmoja kati ya makocha 4 katika Premier League kushinda gemu zake tano za mwanzo, Pia amekuwa muitalia wa pili …

1 2 3 180 181 182 183 184 185