Gemu za Hispania na Uswis Zinampita Raheem Sterling
Raheem Sterling ambaye ni mchezaji kiungo cha mbele wa klabu ya Manchester City amejitoa kwenye kikosi cha Uingereza kwenye mechi dhidi ya Hispania na Uswis zitakazoanza karibuni! Sababu ni nini? …