Tanzania Yashuka Nafasi 2 Viwango Vya Fifa
Timu ya taifa ya Tanzania imeshuka nafasi mbili katika msimamo wa viwango vya FIFA baada ya kutolewa kwenye michuano ya kufuzu AFCON 2022. Msimamo mpya wa viwango vya FIFA uliotolewa …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Timu ya taifa ya Tanzania imeshuka nafasi mbili katika msimamo wa viwango vya FIFA baada ya kutolewa kwenye michuano ya kufuzu AFCON 2022. Msimamo mpya wa viwango vya FIFA uliotolewa …
FIFA ilisitisha mashirikisho ya kitaifa ya mpira ya miguu ya Pakistani na Chad siku ya Jumatano kufuatia mizozo ya jinsi gani mashirikisho hayo yanapaswa kuendeshwa. Shirikisho la soka la Pakistani …
Korea Kaskazini imekuwa nchi ya kwanza kujitoa kwenye michezo ya Olympics 2020 iliyokuwa ifanyike nchini Japan kutokana na hofu ya ongezeko la maambukizi ya Korona. Taarifa hiyo imetolewa na tovuti …
Kiungo wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti. Niyonzima amekuwa ndani ya kikosi cha timu ya Taifa …
Juma Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kurejea kwa Saido Ntibazonkiza kumeongeza ari ya kupambana kwa kikosi hicho ambacho kinaongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21. Kikiwa kimecheza …
Shirikisho la Soka Afrika Kusini “SAFA” limeitisha mkutano wa dharura wa waandishi wa habari kufuatia kushindwa kwa timu yao ya taifa ya Bafana Bafana kufuzu AFCON 2021 na hapo …
Wakati Dunia ikiwa inahangaika na kuzuia maambukizi ya Korona. Timu mbalimbali za Nyumbani zimekuwa zikitumia tatizo hilo kama chanzo kudhoofisha timu za ugenini. Masuala hayo yameendelea kuonekana yakishamiri sasa baaada …
Afrika Kusini imeondolewa rasmi kwenye mashindano ya kuwania kufuzu AFCON 2022 huko Cameroon, huku ikimuacha kwenye hatari kubwa Kocha mkuu wa timu hiyo. Bafana Bafana walipokea kichapo cha magoli mawili …
Wakati ulimwengu wa soka ukiburudika kwa mashindano ya Afcon barani Afrika na World Cup Qualifiers 2022 barani Ulaya, NBA inaendelea kunogesha ulimwengu wa kikapu. Michezo kadha wa kadha imeendelea wiki …
Shirikisho la Soka la Nigeria limelazimika kuwasafirisha Wachezaji wa timu ya taifa ya ‘Super Eagles’ 🇳🇬 kwa kutumia boti kwenda Benin 🇧🇯 kwa ajili ya mchezo wa kufuzu AFCON …
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeweka wazi kuwa maandalizi yote ya mchezo wao wa leo dhidi ya Equatorial Guinea yamekamilika, kilichobaki ni wao kupambana uwanjani ili kusepa na …
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limemteua Kim Poulsen, raia wa Dernmark kuwa Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars). Kocha huyo amesaini mkataba wa …
Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Fiston Abdulazack ambaye ni mtambo wa mabao leo Januari 29 amewasili rasmi ndani ya ardhi ya Bongo ili kujiunga na timu hiyo. Raia huyo wa …
Klabu ya Yanga leo Desemba 18 imeongeza mkataba na kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima kutokana na Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kukubali uwezo wake. Nyota huyo raia wa Rwanda amekuwa …
KIUNGO mzawa ndani ya kikosi cha Yanga, Feisal Salum wengi wanapenda kumuita Fei Toto ameingia Kwenye anga za Klabu ya TP Mazembe ya Congo. Mbali na Toto pia beki mzawa …
Emmanuel Okwi mshambuliaji wa kikosi cha Al-Ittihad ya Misri amekutwa na Virusi vya Corona hivyo atakosa mechi kadhaa ndani ya Ligi Kuu ya Misri. Raia huyo wa Uganda ambaye amecheza …
Kumbukumbu kubwa ilikua miaka minne iliyopita kule Gabon ambapo timu ya taifa ya vijana U17 ilipoenda kuchuana kwenye AFCON, na hapo ndipo jina la kinda huyu likaonekana. Binafsi nilivutiwa sana …
Mchezaji wa zamani wa Fulham, Portsmouth na timu ya taifa ya Senegal – Papa Bouba Diop amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 42. Diop aliwahi kuvitumikia vilabu mbalimbali vya …
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah amerejea mazoezini kwaajili ya mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) utakaowakutanisha na Atalanta ya Italia uwanjani Anfield leo. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28 …
Akiwa na umri wa miaka 47, Mkongwe Essam El Hadary ametangaza kustaafu kucheza soka. Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Misri na Klabu ya Al Ahly alifikia …