Messi Anukia Marekani
Gwiji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ambaye ameachana na klabu ya PSG ya nchini Ufaransa ananukia nchini Marekani kujiunga na klabu ya Inter Miami inayoshiriki ligi kuu nchini humo.
Lionel...
Kante Atua Saudia Arabia
Aliyekua kiungo wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa Ngolo Kante amefanikiwa kujiunga na klabu ya Al Ittihad inayoshirki ligi kuu nchini Saudia Arabia akiungana na Karim Benzema.
Kiungo Ngolo Kante amefanikiwa kujiunga na Al Ittihad baada...
Qatar Kuwasilisha Ofa ya Mwisho Man United Ijumaa Hii
Kampuni ya Qatar chini ya Sheikh Jassim Emir El Thani kuwasilisha ofa yao ya mwisho ya kuinunua klabu ya Manchester United ambapo itakua na lengo lilelile la kuichukua klabu hiyo jumla.
Kampuni ya Qatar Group imekua miongoni mwa kampuni zilizojitokeza...
MORRISON AIVURUGA REKODI YAKE SIMBA
BERNARD Morrison kiungo wa Yanga ameivuruga rekodi yake aliyoiweka akiwa ndani ya Simba kwa kuandika rekodi nyingine ndani ya Ligi Kuu Bara.
Rekodi zinaonyesha kuwa Morrison alipokuwa ndani ya Simba alipogotea kwenye dakika 699 alifunga bao moja na kutengeneza pasi...
BALEKE MPYA ANASUKWA SIMBA
MTAMBO wa mabao ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira unaendelea kupikwa upya kwa ajili ya mechi zilizobaki za Ligi Kuu Bara.
Timu hiyo ikiwa imegotea nafasi ya pili na pointi zake 67 ina kete mbili za kukamilisha...
Hazard Anapanga Kustaafu Mpira wa Miguu
Winga wa zamani wa vilabu vya Lile, Chelsea, pamoja na Real Madrid Eden Hazard ambaye amevunja mkataba na klabu ya Real Madrid siku za hivi karibuni anapanga kustaafu kabisa kucheza mpira wa miguu.
Winga huyo wa kimataifa wa Ubelgiji amekua...
Di Maria Kutimka Juventus
Winga hatari wa kimataifa wa Argentina Angel Di Maria ambaye alikua anakipiga ndani ya klabu ya Juventus inayoshiriki ligi kuu ya Italia maarufu kama Serie A anatimka ndani ya timu hiyo kama mcheza huru.
Angel Di Maria alisaini mkataba wa...
Polisi wa Ziada Waongezwa Kwaajili ya Fainali ya Ligi ya Europa Huko Prague
Polisi wa Czech wamewaandikisha askari 250 zaidi kabla ya fainali ya Ligi ya Europa kati ya West Ham na Fiorentina mjini Prague.
Polisi wa eneo hilo wanafanya kazi kwa kushirikiana na polisi wa serikali na UEFA kuhakikisha mechi hiyo inapita...
Kyle Walker Raha tu Ndani ya Man City
Beki wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza Kyle Walker anafurahia maisha tu ndani ya klabu ya hiyo baada ya kujiunga kutoka klabu yake ya zamani ya Tottenham Hotspurs.
Kyle Walker amefanikiwa kua na mafanikio makubwa...
Je Simba Kumshusha Daraja Polisi Tanzania Leo?
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea hii leo huku michezo yote ya raundi ya 29 kupigwa leo, ambapo mchezo wa saa 12:00 ni kati ya Simba dhidi ya Polisi Tanzania katika dimba la Chamazi.
Simba yupo nafasi ya pili...