AC Milan Zlatan Ibrahimovic - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Ibrahimovic: Ligue 1 Bado Inanihitaji

Serie A

Aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Psg na sasa AC Milan Zlatan Ibrahimovic anaamini kuwa soka la Ufaransa linaporomoka bila yeye kuwepo huku akisema kuwa hata uwepo wa Kylian Mbappe, Lionel …

Ibrahimovic Amtembelea Riola Hospitalini

Daily News

Mchezaji nyota wa klabu ya Ac Milan zlatan Ibrahimovic amemtembelea wakala wake Mino Raiola kwenye hospitali ya San Raffaele ambayo amelezwa baada ya mkanganyiko wa taarifa zilizotolewa hii leo kuhusu afya …

Mshahara wa Aubameyang Kikwazo Kwa Milan.

Daily News

Wakati Arsenal wakimuekea mazingira magumu Pierre-Emerick Aubameyang, mshahara wake ni kikwazo kwa AC Milan. Milan wapo sokoni kutafuta mshambuliaji wakati huu ambao Zlatan Ibrahimovic na Olivier Giroud ni majeruhi. Wanashika …

Ibrahimovic : Siachi Labda Wanifukuze.

Daily News

  Mshambuliaji mkongwe, anayekipiga AC Milan, Zlatan Ibrahimovic, 40 ameweka wazi kwamba bado anafikiria kucheza mpira kadri awezavyo labda afukuzwe katika klabu yake.   Baada ya kuongeza mkataba wa mwaka …

Ibrahimovic Anena Jambo kwa Mbappe

Daily News

Zlatan Ibrahimovic ni shabiki mkubwa wa Kylian Mbappe, lakini mshambuliaji huyo wa AC Milan anahisi kwamba Mfaransa huyo anahitaji timu ya nyingine ili kufikia kiwango kingine. Msweden huyo amemtaka fowadi …

Ibrahimovic Arudi kwa Kishindo

Sport Today

Ibrahimovic ilimchukua dakika saba kuonesha uwepo wake katika mechia mbayo Ac Milan walishinda 2-0 dhidi ya Lazio. Mshambuliaji huyo wa Swedish anayetimiza miaka 40 mwezi ujao alikuwa nje ya uwanja …

1 2 3 4 5 6 7 8