Kwanini Messi Alistahili Ballon d’Or 2021 na Siyo Lewandowski?
Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi aliibuka na ushindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2021 na kumpiku straika wa Bayern Munich Robert Lewandowski ambaye alishika nafasi ya pili kwenye …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Mshambuliaji wa PSG Lionel Messi aliibuka na ushindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mwaka 2021 na kumpiku straika wa Bayern Munich Robert Lewandowski ambaye alishika nafasi ya pili kwenye …
Cristiano Ronaldo amemjibu mhariri wa France Football ambaye alidai nia pekee ya fowadi huyo wa Manchester United ni “kustaafu akiwa na Ballons d’Or nyingi kuliko Lionel Messi”. Kupitaia kurasa zake …
Jana usiku, nyota wa PSG na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa dunia, Ballon d’Or. Hii ni mara ya 7 kwake, alistahili? Tuzo …
Ballon d’Or ni jina la kifaransa kwa kingereza linajulikana kama “Golden ball” kwa kiswahili ni mpira wa dhababu, tuzo hii ya mpira wa dhahabu ilianzishwa na jarida la habari la …
Leo ndiyo leo asemaye kesho ni muongo Tuzo ya Ballon d’Or imerejea tena mwaka huu 2021 baada ya kukosekana kwa mwaka uliyopita kwa sababu ya janga la COVID-19 na leo …
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Portugal Cristiano Ronaldo shauku yake kubwa ni kuwa na tuzo nyingi za Ballon d’Or kudhidi mpinzani wake Lionel Messi kabla hajatangaza kutaka kustaafu. Igawa …
Thomas Mueller alisema mchezaji mwenzie wa Bayern Munich Robert Lewandowski ni lazima ashinde tuzo ya Ballon d’Or siku ya jumatatu ambapo tuzo hizo zitakapo tangazwa. Lewandowski anamatumaini makubwa ya kupata …
Unahisi nani anastahili kupata Ballon d”Or kwa mwaka 2021? Kama Kevin De Bruyne hayupo kichwani kwako, basi unapishana na kiungo wa Chelsea Jorginho. Kwa mujibu wa Jorginho, Kevin De Bruyne …
Mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ameshajulikana baada ya orodha ya majina kuvuja na picha iliyoonekana katika mitandao ya kijamii inaonesha straika wa Bayern Munich ndiyo mshindi wa tuzo hiyo …
Mbio za kuwania Ballon d’Or mwaka huu 2021 zimefika katika hatua ya mwisho wakati mgombea mmoja ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo hiyo mwezi Novemba 29, hii ni kwa …
Orodha ya majina 30 yanayowania tuzo ya Ballon d’Or, mwaka huu ilitolewa siku ya Ijumaa alasiri na Jarida la Soka la Ufaransa. Sherehe hizo zitafanyika mwezi Novemba 29 baada ya …
Mbio za kuwania Ballon d’Or tayari zimeanza, na kiungo wa Chelsea na Italia Jorginho ni miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo kubwa baada ya kushinda Champions League …
Lionel Messi hatimaye ameweza kushinda kombe na timu ya taifa ya Argentina, na kuisaidia nchi yake kumaliza ukame wa miaka 28 wa kutoshinda taji kubwa kwa kutwaa Copa America siku …
Msimu wa soka umekamilika sasa, mazungumzo tayari yamegeukia kwenye Ballon d’Or, na wagombea kadhaa wanaibuka wakati wa msimu huu wa Copa America na Mashindano ya Ulaya. Lakini ni nani wanaoongoza? …
Nicolas Anelka alianza soka lake huko Paris Saint-Germain na, ingawa baadaye alirejea, aliondoka akiwa na umri mdogo kujaribu mwenyewe kwenye vilabu vikubwa. Hivi ndivyo mtu huyo wa miaka 42 amemtaka …
Ni saa 5:15 Asubuhi kwa saa za Kusini Mashariki mwa Bara la Ulaya, Desemba 8 mnamo 1991, kwenye Kijiji kidogo cha Modrici huko Jamhuri ya watu wa Croatia ambapo zamani …
Dream Team ya Ballon d’Or ni timu ya wachezaji nyota wa wakati wote iliyochapishwa na France Football siku ya tarehe 14 Desemba 2020 baada ya kupiga kura ya mashabiki kuchagua …
Eto’o awataka waandaaji wa Ballon d’Or kuacha ‘Dharau’, hii ni baada ya kumuweka katika kundi la mawinga wa kulia. Mshambuliaji huyo mkongwe raia wa Kameruni alistaafu soka rasmi mwaka jana …
Waswahili usema “lisemwalo lipo au linakuja”, msemo huu unaendana na hiki alichokisema Ander Herrera kwa mchezaji mwenzake wa zamani wa Man United – Paul Pogba. Kuelekea mchezo wa UEFA, PSG …
Kylian Mbappe ni mfano wa washindi wa baadaye wa tuzo ya Ballon d’Or, hii ni kwa mujibu wa mchezaji wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka. Akiwa na umri wa miaka …