Barcelona Dani Alves - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Joan Laporta: Barcelona Tunararudi

Daily News

Rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amesisitiza kuwa klabu yake yake inarudi kwenye kufanya usajiri wa wachezaji wakubwa baada ya kumtambulisha mchezaji mpya waliomsajiri kutokea klabu ya Man city …

Dani Alves Kukiwasha Tena Barca Wiki Hii!

Daily News

Veterani Dani Alves anatarajiwa kurejea tena dimbani kuwachezea Barcelona kwa mara nyingine wiki hii. Alves alirejea Barcelona mwezi uliopita, baada ya kumaliza mda wake huko Brazil. Hata hivyo, alilazimika kukaa …

Zamu ya Dani Alves Kuachana na PSG

Football

Nyota wa Brazilna PSG Dani Alves ametangaza rasmi kuwa huu ni wakati wa yeye kusepa Paris Saint Germain -PSG akiwa tayari alishaanza kuhusishwa na mabingwa wa Hispania Barcelona. Nyota huyu …

Xavi Sijazungumza na Countinho

Daily News

Kocha wa timu ya Barcelona Xavi Hernandez amesema hajazungumza na Philippe Coutinho kuhusu uhamisho wa dirisha la usajiri mwezi huu januari. Philippe Coutinho anatarajia kuondoka kwenye dirisha la usajiri mwezi …

Philippe Coutinho Kwenda Aston Villa?

Daily News

Kocha wa klabu ya Aston Villa Steven Gerrard yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Barcelona ili kuweza kumchukua kiungo Philippe Coutinho kwa mkopo wa miezi sita. Philippe Coutinho ameshawai kucheza …

Xavi Anawataka Watatu wa Chelsea

Daily News

Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez anataka kukijenga upya kikosi chake baada ya kuchaguliwa rasmi kuwa kocha wa mkuu mapema hii kufuatia kutimuliwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa The Blaugrana …

1 2 3