Bayern Munich Robert Lewandowski - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Lewandowski Hakamatiki ndani ya La liga.

News

Mchezaji Roberto Lewandowski wa klabu ya Fc Barcelona ameendelea kudhihirisha ubora wake kila uchawao kunako ligi kuu ya Hispania maarufu kama La liga. Mchezaji huyo ambae amejiunga na klabu hiyo …

Lewandowski Apiga Hattrick UEFA

News

Mshambuliaji wa timu ya Barcelona Robert Lewandowski amepiga hattrick yake ya kwanza akiwa Nou Camp huku akiwa ndio mchezaji wa kwanza kupiga hattrick katika michuano ya klabu bingwa barani Ulaya. …

Roberto Lewandowski Aendelea Alipoishia.

News

Roberto Lewandowski mshambuliaji wa klabu ya Fc Barcelona ya nchini Hispania ameendelea kufunga kama anavyotaka ndani ya klabu yake hiyo mpya. Lewandowski amefanikiwa kufunga magoli matano kwenye mechi nne alizocheza …

Lewandowski Kuvaa Namba 9

Daily News

Klabu ya Barcelona imembadilishia namba mchezaji wake mpya aliyesajiriwa akitokea Bayern Munich Robert Lewandowski kutoka namba 21 ambayo alikuwa anavaa kwenye michezo ya Pre-seaosn na kupewa jersey namba 9. Jersy …

Lewandowski ni Mali ya Barcelona

Daily News

Robert Lewandowski anajiandaa kusaini mkataba wa miaka minne na klabu ya Barcelona kwa dau linaloelezwa kufika euro milioni 50. Uvumi wa kwamba Lewandowski atajiunga na Barca ulianza kabla hata ya …

Lewandowski Haitaki Bayern.

Bundesliga

Ulimwengu wa soka la kisasa umegubikwa na mvutano wa nguvu kati ya klabu na mchezaji. Hili linaonekana kwa Robert Lewandowski msimu huu. Ni dhahiri, Lewandowski hataki kuendelea kuitumikia Bayern Munich …

Barcelona na Robert Lewandowski kunani?

Bundesliga

Klabu ya Barcelona imeripotiwa kufanya makubaliano ya kumsaini mshambuliaji hatari kutoka nchini Poland anayekipiga kwenye klabu ya Bayern Munich  Robert Lewandowski kwenye majira ya kiangazi. Vyombo mbali mbali vya nchini …

Lewandowski Afikie Rekodi ya Muller.

Bundesliga

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Robert Lewandowski ni mshambuliaji wa aina yake, rekodi zake zinajieleza ndani ya uwanja. Mchezo wa Bundesliga kati ya Bayern Munich vs Stuttgart, umempatia fursa Lewandowski …

1 2 3 4 5 7 8 9