Celtics - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

NBA: Curry Aweka Rekodi Warriors.

Basketball

Burudani ya ligi ya NBA mara zote inaendana na kufikiwa/kuwekwa au kuvunjwa kwa rekodi kadha wa kadha. Jumatatu hii, Stephen Curry ameweka rekodi ndani ya timu yao ya Golden State …

NBA: Warriors Hali Mbaya 2020/21!

Basketball

Hali sio shwari kwenye timu ya Golden State Warriors msimu huu kunako NBA. Idadi ya michezo wanayopoteza inazidi idadi ya michezo wanayoshinda, kulikoni?? Usiku wa kuamkia leo, Warriors walikuwa uwanjani …

Miami Heats Yawaadhibu Utah Jazz.

Basketball

Kunako muendelezo wa NBA, timu ya Miami Heats imewaadhibu vinara wa Western Conference – Utah Jazz. Jazz ambaye anatamba kwa ushindi wa michezo 22 kati ya 24, wamejikuta wakiangukia pua …

Utah Jazz, Kama Ilivyokuwa 1996/97.

Basketball

Timu ya kikapu inayocheza ligi ya NBA, Utah Jazz, wameendelea kuwa bora kwa kuweka rekodi waliyokuwa nayo 1996/97. Jazz walikuwa uwanjani kupambana na Boston Celtics katika mchezo walioshinda kwa pointi …

NBA: Bucks na Mavericks Wametoka Kimasomaso

Basketball

Katika muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21. Milwaukee Bucks na Dallas Mavericks, wametoka kimasomaso katika michezo yao waliyocheza usiku wa kuamkia leo. Bucks wakiongozwa na Giannis Atentokounmpo, waliwalaza Indiana Pacers …

Lakers Kuwakosa LeBron na Davis?

Basketball

Katika muendelezo wa NBA 2020/21, timu ya LA Lakers inawasiwasi na uwepo wa nyota wake, LeBron James na Anthony Davis kwenye mchezo wa leo (Jumatatu). LeBron na Davis wote wanamajeruhi …

NBA: Lakers Yatolewa Umaarufu na 76ers

Basketball

Michezo kadhaa ya NBA imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Mabingwa watetezi, LA Lakers, wamejikuta wakiotolewa umaarufu kwa kupoteza mchezo dhidi ya Tha Philadelphia 76ers. Lakers walikuwa na rekodi ya …

NBA 2020/21, Mambo ni Moto!

Basketball

Muendelezo wa michezo ya NBA 2020/21 ni burudani inayopambwa na rekodi zinazowekwa na zingine zinavunjwa. Wapo wanaopanda na wapo wanaoshuka. LA Lakers, Milwaukee Bucks, Brooklyn Nets, Boston Celtics ni miongoni …

NBA: Karl-Anthony Town Akutwa na COVID19

Basketball

Mchezaji wa timu ya Minnesota Timberwolves kunako ligi ya NBA – Karl- Anthony Town, amenukuliwa akisema “sitoishia kwenye box” baada ya kukutwa na COVID19. Mwaka jana, Town alipoteza wanafamilia wenzake …

NBA: Lakers na Warriors Ni Moto!

Basketball

LA Lakers na Golden State Warriors wamewalaza na viatu Chicago Bulls na LA Clippers kwenye muendelezo wa NBA. Lakers walikuwa uwanjani wakichuana na Chicago Bulls katika mchezo uliomalizika kwa ushindi …

Curry,LeBron James Ni Ushindi Tu!!

Basketball

Mambo yametaradadi kunako NBA msimu huu. Stephen Curry na LeBron James kwao ni ushindi tu! Golden State Warriors walikuwa uwanjani wikiendi hii kupambana na Portland Trail Blazers. Huu ni mchezo …

Lakers na Bucks Mambo ni Bambam!!

Basketball

La Lakers wameondoka na ushindi kwa mara ya pili mfululizo wakati ambapo Milwaukee Bucks wamewagaragaza Chicago Bulls usiku wa kuamkia leo. Lakers walikuwa uwanjani kuchuana na San Antonio Spurs ambapo …

1 2 3
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.