Chelsea Andreas Christensen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Chelsea Kumpambania Achraf Hakimi.

Daily News

Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa, Chelsea wanapambania kuipata saini ya beki wa Inter Milan – Achraf Hakimi. Licha ya PSG kumwaga mpunga mrefu wa takribani pauni milioni 56.5, inaripotiwa kuwa …

Uchambuzi EPL: Chelsea vs Brighton

Daily News

Andreas Christensen huenda akarudi Chelsea baada ya kukosekana kwenye mechi tatu kwa sababu ya jeraha la misuli. Thiago Silva anaweza kupumzika, na kocha mkuu Thomas Tuchel akiwa na wasiwasi juu …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Paris St-Germain wanafanya mazungumzo na kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 28, na kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast Franck Kessie, 25, kutoka Manchester United na …

Tuchel Hana Haraka Kurudi Sokoni

Daily News

Kocha wa klabu ya Chelsea Thomas Tuchel hana haraka ya kurudi tena sokoni ili kuimarisha kikosi chake kwa kuingiza maingizo mapya ya wachezaji ili kuimarisha kikosi hicho kilichopoteza kwenye mchezo …

Ronaldo Yupo Kwenye Mipango Tuchel?

Daily News

Baada ya Christiano Ronaldo kuomba kuondoka Manchester United basi kumekuwa na uvumi kwamba anaweza kujiunga na klabu ya Chelsea kutokana na tajiri mpya wa klabu kuvutiwa kufanya usajili wa mshambuliaji …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku hana nia ya kujiunga na AC Milan ama Newcastle msimu huu wa joto, licha ya mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 28-kuendelea kukosa …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester United na Ureno Cristiano Ronaldo, 37, amefanya mazungumzo na wakala wake Jorge Mendes kuhusu hatma yake Old Trafford. Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Bayern Munich …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Daily News

  Tetesi zinasema, Meneja wa Real Madrid Muitaliano Carlo Ancelotti, 62, ameibuka kuwa mgombea anayewania kuwa meneja mpya ajaye wa Manchester United. Kiungo wa Colombia aliyewahi kuichezea, Everton James Rodriguez, …

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

News

  Tetesi zinasema, Inter Miami itapambana kumsajili mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi kama nyota huyo mwenye miaka 34 ataamua kuondoka Paris St-Germain, anasema mmiliki mwenza wa klabu hiyo ya ligi …

1 2 3