Christian Eriksen - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Eriksen Amerejea Rasmi

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United raia wa kimataifa wa Denmark Christian Eriksen amerejea rasmi ndani ya klabu hiyo baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Eriksen amekaa …

Eriksen Mbioni Kurejea Dimbani

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Christian Eriksen yuko mbioni kurejea dimbani kunako klabu hiyo baada ya kupata majeraha katika mchezo wa kombe la FA mapema mwezi wa kwanza. Eriksen …

Eriksen Kurejea Msimu huu

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester United Christian Eriksen kurejea tena klabuni hapo ndani ya msimu huu baada ya kupata majeraha kwa mujibu wa kocha wa klabu hiyo Erik Ten Hag. …

Eriksen Nje Mpaka April Mwishoni

Daily News

Kiungo wa klabu ya Manchester Christian Eriksen imeripotiwa anaweza kuwepo nje ya uwanja mpaka mwishoni mwa mwezi wa nne au mpaka mwezi wa tano mwanzoni. Kiungo Eriksen ambaye alipata majeraha …

Eriksen Aweka Rekodi Man Utd

Daily News

Kiungo mshambuliaji Raia wa Denmark ambaye anakipiga katika klabu ya Manchester United Christian Eriksen, ameonesha takwimu nzuri na kuvutia zaidi kutokana na uwezo wake wa kukimbia umbali mrefu kwa muda …

Eriksen: “Sitabadiri Style Yangu”

Daily News

Christian Eriksen amesisitiza kuwa hakuna kitu cha kumzui kururudi kwenye ubora wake hata baada ya kupata matatizo ya moyo aliyoyapata kwenye mashindano ya Euro lakini hayata mzuia kurudi kwenye ubora …

Eriksen Anaweza Kurejea Uingereza?

Daily News

Jina Christian Eriksen bado halijapotea kwenye uso wa wanamichezo. Uwezo wake katika safu ya kiungo ushambuliaji, ni alama ya ubora wake uwanjani. Eriksen alipata tatizo la moyo wakati akiitumikia timu …

Inter na Eriksen, WAMEMALIZANA.

Daily News

Klabu ya Inter Milan imethibitisha kuachana na aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo, Christian Eriksen. Haya ni maridhiano baina ya pande zinazohusika. Eriksen amekuwa nje ya uwanja kwa muda toka alipopata …

1 2 3 4 5 6 7