Ecuador - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Arsenal Wajitoa kwa Caicedo

Daily News

Klabu ya Arsenal imejitoa katika dili la kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ecuador Moises Caicedo anayekipiga katika klabu ya Brighton and Hove Albion baada ya kumsajili Jorginho Frello kutoka Chelsea. …

Moises Caicedo Agomea Mazoezi Brighton

Daily News

Taarifa zinaeleza kiungo wa klabu ya Brighton Hove and Albion Moises Caicedo amegomea mazoezi ndani ya klabu yake huku akihitaji kuondoka ndani ya klabu hiyo na kutimkia Arsenal. Moises Caicedo …

Arsenal Yajitoa Mhanga kwa Caicedo

Daily News

Klabu ya Arsenal imejitoa mhanga kuwania saini ya kiungo wa kimatifa wa Ecuador anayekipa katika klabu ya Brighton and Hove Albion Moises Caicedo katika dirisha la mwezi Januari. Klabu ya …

1 2 3 4