Mancini Aitabiria Argentina Kubeba Kombe la Dunia
Kocha kuu wa Italia Roberto Mancini amedokeza kuwa timu yake pendwa Argentina inaweza kushinda Kombe lao la tatu la Dunia huku mchezaji wa PSG Lionel Messi na wachezaji wenzake wakitafuta …
Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena
Kocha kuu wa Italia Roberto Mancini amedokeza kuwa timu yake pendwa Argentina inaweza kushinda Kombe lao la tatu la Dunia huku mchezaji wa PSG Lionel Messi na wachezaji wenzake wakitafuta …
Timu ya Taifa ya Italia ina majuto mengi kwa kutofuzu kwa Kombe la Dunia msimu huu, lakini Giancarlo Rinaldi anapendekeza Azzurri wayaangalie zaidi mashindano hayo yanayofanyika Qatar 2022 kwa umakini …
Kocha mkuu wa Italy Roberto Mancini hakuridhika kabisa na ushindi wa Ligi ya Mataifa walioupata Italia dhidi ya Hungary wa 2-0 , huku kocha wa Hungary Marco Rossi akimsifu Gianluigi …
Roberto Mancini amesifia kizazi kipya cha Italia kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya England katika Ligi ya Mataifa. Goli la Giacomo Raspadori liliifanya England kushuka daraja, huku Italia itamenyana na …
Kocha wa Italia Roberto Mancini amejikuta katika wakati mgumu Baada ya taifa hilo kushindwa kufuzu kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022 na mama wa kocha huyo wa zamani wa …
Mario Balotelli ameitwa kwenye timu ya taifa ya Italia na amejiunga kwenye kambi ya timu hiyo na kocha Roberto Mancini akizungumza na leo alisema kuwa anasubiri kuona kama ataweza kuisaidia …
Kocha wa klabu ya Man City Pep Guardiola ameungana na kocha wa Chelsea ambaye alimfunga kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya Thomas Tuchel kwenye tuzo za FIFA zilizotajwa leo …
Kulingana na taarifa mbalimbali za habari nchini Uingereza, Meneja wa timu ya Taifa ya Italia, Roberto Mancini anaangaliwa kama mbadala wa muda mrefu wa Ole Gunnar Solskjaer pale Manchester …
Droo ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia la 2022 imepelekea Ureno na Italia kuwekwa kwenye kundi C la mtoano, kumaanisha kuwa mmoja kati ya wawili hao hatafuzu fainali …
Giorgio Chiellini ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Italia kwenye michezo ya kufuza kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kushindwa kupona kwa wakati majeraha yake. Giorgio Chiellini …
Baada ya miaka 53, Italia anatwaa ubingwa wa pili wa Euro 2020 toka mwaka 1968. Leonardo Bonucci shujaa wa Milano. Licha ya Luke Shaw kuwapatia Uingereza goli la kuongoza, Leonardo …
Timu ya Taifa ya Italia imeanza vyema katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya EURO 2020 kwa ushindi mnono wa goli 3-0 dhidi ya Uturuki. Italia inayonolewa na Roberto …
Italia hawajapoteza mchezo wowote tangu October 2018, tumeruhusu mabao 7 tu kwenye mechi 27 na kama watu wanasema tunajilinda sana basi jueni tumefunga mabao 75, imagine Licha ya huu ubora …
Italia imethibitishwa kama wenyeji wa fainali za Ligi ya Mataifa mwakani, na timu ya Roberto Mancini tayari imepangwa dhidi ya Uhispania katika nusu fainali ya kwanza. UEFA ilithibitisha siku ya …
Alessandro Bastoni, Gian Marco na Mattia Zaccagni wameongezwa katika kikosi cha Italia kwaajili ya michezo yao ijayo. Beki wa kati Baston na Ferrari wataziba pengo lililoachwa na Angelo Ogbonna na …
Kocha wa timu ya Taifa ya Italia – Roberto Mancini, amekutwa na maambukizi ya COVID19 baada ya vipimo vya timu hiyo. Taarifa rasmi iliyotolewa na Shirikisho la Soka la Italia …
Roberto Mancini ameelezea masikitiko yake kwa kumuuona Mario Balotelli muonendo wake kutoka kuwa kijana wa dhahabu hadi kuwa mchezaji wa thamani ya chini. Bosi wa timu ya Italia Mancini alimpa …
Roberto Mancini na Marco Verratti wamekubaliana juu ya suala kwamba Italia walikosa kutumia vizuri nafasi kwa umaliziaji mbaya na matokeo yake wakalazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Poland Jumapili. Ingawa …
Kocha wa Italia Roberto Mancini atamwita Mario Balotelli kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu katika mapumziko yajayo ya mechi za kimataifa. Balotelli, 31 kwa sasa anachezea …
Mario Balotelli yupo mbioni kuitwa kuitumikia timu yake ya Taifa! Meneja wa timu ya taifa ya Italia Roberto Mancini amethibitisha kuwa anamfuatilia kwa ukaribu zaidi nyota huyu kujua kama anaweza …